Recent content by mtani21

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

    Mimi nilimwambia "naomba upange muda wako vzr tukato......" akaanza kunichana ohoo wewe huna maneno ya mahaba na hujui kutongoza, hata kunidanganya umeshindwa. Nikamwambia sipendagi uongo, nikamwachia namba, nikamwambia ukiwa tayari utanicheki nikasepa. Baada ya siku 3 alinichek nikapiga
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

    Wanamke wanaokaa uchi; Hawana akili na wanakasoro
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Tunasubiria mwendelezo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro: Mchina anaendelea kuleta competition

    Xiaomi n simu nzuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua simu unayonunua kama ni Brand new au Refurbished

    Asante kwa elimu mkwawa
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

    Wake za watu wanaliwa sana
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ndio sifa ya mwanaume kujiamini. Wanaokukosea wengi wazushi, hakuna asiyekosea. Endelea kusimama na unachokipenda
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Treni ya SGR Dar-Moro inasafiri na nafasi wazi zaidi ya nusu wakati awali tiketi zilikuwa zinaisha siku 1 kabla; Tatizo ni nini? Ushahidi huu hapa

    Waliokuwa wanajaza mwanzo n wale kipya kinyemi. Sasa tumebaki abiria halisi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

    Nyati
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aambiwa mume wake analazimisha kuingiliwa kinyume na maumbile, afanye nini?

    Fuatulia kwa umakini, utapothibithisha kama n kweli njoo tukupe ushauri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

    Naunga mkono wanawake kutokwenda makaburini. Wanakimbilia magari na kujaa, wanaume wanapata nafas kidogo. Wakifika n kukaa tu juu ya makaburini na kusogoa. Kifupi hawafanyi kazi. Nashauri wafiwa tu waende
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Nenda usiogope, kujieleza kwako ndio silaha yako. Kama kweli umeokota usiogope
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shutuma dhidi ya Tigo ukibakiza MB 20 au 30 wanazuia mtandao

    Speed yake ipoje
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shutuma dhidi ya Tigo ukibakiza MB 20 au 30 wanazuia mtandao

    Mimi hao jamaa nilishaachana nae kitambo.
Back
Top Bottom