Recent content by Mtani wa Taifa

  1. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi au kibarua cha uwakika kwa mkoa wa Dar Es Salaam

    Mungu akubariki umsaidie member mwenzio
  2. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu, Xiami Redmi 13C

    Bei yako ya mwisho kabisa sh ngapi kesho tumalize biashara
  3. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    Vifaranga 500 andaa 4.5-5m mpaka watakapianza kutaga wakiwa na wiki 18 hadi 20
  4. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

    Layers 1500 kuna harufu ya upigaji hapa
  5. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia

    Safari hii makolo tunawafunga 10 senge nyie
  6. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Hasira za mkizi hizo, mtani huna pesa kaa kimya wenye pesa tutambe
  7. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Walimu zaidi ya 200 waliosahihisha Mitihani ya Mock Mkoa hawajalipwa pesa zao

    Sasa kusahihisha si ndio kazi yenu mnataka kulipwa kivipi, au mnataka manesi ndio waje kusahihisha mitihani?
  8. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Kwani shida iko wapi, huyo mama yenu sio ndugu yenu
  9. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

    Kabisa wabunge wetu wenyewe hovyo
  10. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

    Anaweza kuja akapokelewa na waziri kabisa, wabongo hatuna akili kwenye vitu vya kijinga
  11. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Nitafutie mashine ya kukoboa na kusaga used
  12. Mtani wa Taifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

    Leo mwasibu umeandika jambo kama mwananchi vile
Back
Top Bottom