Recent content by Mtanganyikano

  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

    Hawakuja kumtetea Lissu Wamekuja kama Observers. Kusema wamekuja kumtetea Lissu ni kupotosha umma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Unaelewa maana ya haya maneno ndugu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

    Alikuwa mume wa mtu Unamwitaje dada?
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    That's song is too young to notice
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Kanikamulie maji ya machungwa nina kiu koma Haya mwezi kumi kumi na moja huo kwenye kona Nikashtuka ninahudumia tambara. Wameacha alama yao kwenye burudani ya muziki.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Hata DSM pia mob justice ipo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Dingi na elimu mitaani ndio ngoma pekee najua zina verse moja.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

    Kazi yake Molaa Hii song ilikuwa ni kwa ajili ya marehemu Abdu Bonge. Leo inapigwa kwa ajili ya Dojo mwenyewe ambae alishiriki kuimba.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Uko wilaya na mkoa gani? Siku nyingine usiruhusu mtu yoyote achukue leseni halali ya biashara.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Baada ya kupekua nimeona. Wameandika 1+, hii inamaana mchezaji apige angalau shoot moja au zaid on target? Au maana yake yawe mashuti mawili na kuendelea on target?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    SB wana market ambayo unaweka stake kwamba mchezaji fulani atapiga shoot kadhaa on target? Mfano Ikay gondogan over 0.5 SoT(shoot on target) kwa odds ya 2.5?
  12. M

Back
Top Bottom