Kuna mambo makubwa kama mawili au matatu lazima uyafanye.
1. Jiandae kifikra kabla hujaachaa (mental preparation), hichi kitu muhimu sana na kinaweza chukua muda sana. Sababu kwenye kitu chochote psychology inachukua nafasi kubwa sana. Muhimu hapa ni kwamba hakikisha unafikiria positive side na...
Mkuu umewai kufanya biashara? au kuacha kazi na kuwa mtaani?
Ukweli ni kwamba kuacha kazi na kwenda mtaani 90% ni jinsi utakavyo control hisia zako na zawatu around (emotional). 10% ndio failure or success.
Mimi niliacha kazi yenye kipato cha juu sana. Niliamua tuu kwamba ikifika september...
Mimi ni muwekezaji mdogo natafuta wakulima ambao tutafanya nao ubia, mimi natoa cash na business planning. Yeye ana manage plantation. Base on return tunagawana in agreeable terms.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.