Recent content by mtanganyika asilia

  1. M

    Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Oneni aibu kumtaja Nyerere kwani Hanna mnachoenzi kutoka kwake!k ila alichokikataa mnakiweka kwenye Latina alafu leo mnajifanya eti nyerere day!uwiiii usanii mwingine hauna maana.Nyerere wasamehe bureau Hawaii wachumia tumbo kwa kulitumia jina lako vibaya!rest in peace father of our nation!
  2. M

    UVCCM Arusha wamuonya Mbowe na CHADEMA

    Hivi ccm walikua wapi mpaka Lema aje kuwadanganya wakazi wa Arusha?Ahadi za ccm zimetimizwa zote?uuwii huyo Munisi kwa nini anakosa adabu namna hiyo?Slaa na Mbowe si rika lake sasa kwanini anawataja kama anataja watoto wake?Ushauri wa bure kwake siasa uchwara zisimkoseshe nifhamu arusha...
  3. M

    CP Paul Chagonja: Ole wao Mbowe na wafuasi wakiandamana

    Hakika tumemsikia Chagonja akipiga mkwara waandamanaji watakao jitokeza!Ila swali ni Je maandamano haya anayoyapiga mkwara ni kinyume cha sheria hapa kwetu?Kwa kiasi gani? amejiridhisha kua watu wakiandamana kwa amani wakiwa hawana silaha yeyote wala kutovunja mali zozote kutahatarisha amani?Je...
  4. M

    Cheyo, Waislamu wameitisha kikao kupinga katiba,na mimi niitishe cha Wakristo

    Hatuna sababu ya kutukanana!Mkristu na Mwislam wote ni watanzania na wanasiasa wanatokana na makundi haya hivyo basi mwislam anaetaka kumuhukumu mwislam ni Sawa na ni halali ikiwa atakua ni hakimu kwa mujibu Wa sheria zilizotungwa na wabunge waislamu ndani ya bunge na si vinginevyo!Wakristu...
  5. M

    Kumbukeni katiba mnayoichezea itakuja kuwaongoza hata watoto na wajukuu zenu

    Waheshimiwa sauti ya watu wengi ni sauti ya Muumba na kinyume chake ni sauti ya shetani!waheshimiwa mlioko mjengoni mmejigawanya kwa jinsi mnavyojua na kupindua mawazo ya mamilioni ya watu na kujidai wazalendo hii ni hatari!Rai yangu kwenu ni kuwakumbusha kipengele cha kuwarithisha watoto wenu...
  6. M

    Uzalendo ni matendo viva Kubenea!

    Kubenea ni mfano wa wazalendo halisi waliobakia hai Tanzania.Hakika nchi yetu itakombolewa mara ya pili na watu makini na siwapiga kelele na majungu kama walioko kwenye genge linaloendelea kule kati kati ya nchi!Mungu ampe nguvu na ulinzi mzalendo huyu!
  7. M

    Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA

    Naheshimu uthubutu wake!Kuna wanawake wengi wemeweza kuwa sababu ya mabadiliko katika jamii zao.Big up my sister!
  8. M

    GE2015 Baada ya Pinda kutangaza nia, Membe afunguka

    Panya panya kwani huyo Membe katoka ukoo gani?Kama sio ukoo uleule wa panya?Tunataka fikra mpya kama angekua smart angekua mshauri mzuri kwa mwenyekiti wa mapanya!
  9. M

    Kweli nimeamini mwenyekiti akisema ni amri!

    Wadau, Nimemsikia mzee Ngwilizi akisema wao wameamua zibaki serikali mbili ila wajue wenzetu wanajichagulia serekali na wana mambo yao wamekuwa wakitubagua hadharani na kutuchagulia rais kamwe haitovumilika kuona eti chetu chao wakati chao ni chao! Muda wa kuidai nchi mojaunakuja au...
  10. M

    Kweli nimeamini mwenyekiti akisema ni amri!,

    Wadau nimemsikia mzee Ngwilizi akisema wao wameamua zibaki serikali mbili ila wajue wenzetu wanajichagulia serekali na wanamambo yao wamekua wakitubagua hadharani na kutuchagulia raisi kamwe haitovumilika kuona eti chetu chao wakati chao ni chao!muda wa kuidai nchi mojaunakuja au Tanganyika...
  11. M

    Kuelekea uchaguzi 2015: Kuna anayefaa kuwa Rais kutoka ndani ya CCM?

    Ah jamaa kataja ukoo wa panya nani wa kuaminika hapo?uwiiii bora panya buku wa Monduli!ni mtazamo tu!!
  12. M

    Kuelekea uchaguzi 2015: Kuna anayefaa kuwa Rais kutoka ndani ya CCM?

    Ah!CCM ni ukoo wa panya hakuna ambaye si mdokozi!Hanna kitu hapo bora panya buku wa monduli!!
  13. M

    Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

    Hivi huyo dada baada ya mivutano yooote leo anakuja na hadithi ya mimba ya bro Emma kweli?Mungu alikupa karama sio ya kujitukuza kwa mambo ya kidunia na umaarufu m bovuuu!Usiwe sababu ya watu kuuchukia uokovu!!
  14. M

    Mtazamo wangu!

    Tanzania bila wachumia tumbo inawezekana!Kuna nini Ikulu mbona kila MTU anapataka?Eti mawaziri wakuu waliopita wanapataka kuna dili gani?Watanzania wenzangu embu tujiulize kwanini wanapashindania kiasi hiki? Mimi naona ni wakati wa fikra mpya haijalishi anatokea wapi tumtafute MTU ambaye hata...
  15. M

    Tuunge mkono kukemea mafundisho potofu ya dini

    No kweli wanajamii mafundisho yasiyo tupeleka kwenye umoja na mshikamano ni hatari.kama kareti kwenye nyumba za ibada ni za nini?
Back
Top Bottom