Huyo askofi yupo sahihi na kuna ukweli flan ndanj yake, tuangalie tu majirani zetu kenya, wao wako vizuri na Israel na angalia uchumi wao ndio wanatukimbuza hapa afrika mashariki kwa kuwa na uchumi mkubwa kwa ukanda huu, hivyo niseme tu kiukweli kama ilivyoandikwa katika maandiko...
Lakini pia humtuma Roho wake mtakatifu naye hukaa katika moyo, na kusema kwake nasikia dhahiri kabisa pasipo kuhisi au kufikiri, yaani ni kama unaongea na mshikaji wako, hapo pembeni mnaweza anzisha mada na akawa anakupitisha Mungu wangu ninayemuamini husema na wanadamu sana saanaa ukimpendeza...
Ndio nilishawah kuongea na Mungu na alishawah kunijia katika Ndoto/ Maono na kunisemesha (Yesu Kristo) ambayo yalikua dhahiri kiasi kwamba ni miaka kadhaa imepita lakini ile picha alvyonijia katika njozi sijawah kuisahau na ile raha niliyoipata rohoni/nafsi. Sijawah kuipata sehemu yoyotee zaidi...
Wadau nifahamisheni ikiwa kuna punguzo ama msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa Serekali anayeingiza gari nchini ikiwa gari limetengenezwa ndani ya miaka 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.