Recent content by MTALAAM WA MAJIKO

  1. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya JF Kennedy - rais wa 35 wa USA: Namna yalivyotokea!

    Story tamu same, usiache kunitag
  2. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kuku wa kisasa (broillers) Mwanza

    Mm najua pale Misenani round about kwenye picha samaki, sasa sijui kama ameacha kuuza kwa Doctor Kivuyo
  3. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Leon Spinks alifungwa mkono wa kushoto ili apambane na Mohammad Ali?

    Ni baada ya kuzidiwa na Mohamed Ally ndipo mke wake akapiga kelele na kumwambia Spings ma left, ndipo ilimtoka ngumi moja matata sana Mohamed akaikwepa ikapiga chuma na kikapinda.
  4. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

    Kuna jamaa anaitwa The Bold huyo jamaa ni noma, story inaanza January hadi Desemba.
  5. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

    Mazeee vp, mbona umeenda mazima?
  6. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

    Endelea kutupa vitu ndugu.
  7. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Kitabu: New World Order - Uchambuzi

    Aisee, mbona nakuelewa ukiendelea na story naomba unitag
  8. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Kitabu: New World Order - Uchambuzi

    Aisee, mbona nakuelewa ukiendelea na story naomba unitag
  9. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

    Nakumbuka kumuona mara ya kwanza ni uwanja wa Jangwani Dar mwaka 89 alikuwa akiongea anamalizia na iiiiiii alikuwa bado kijana sana ilikuwa inaitwa The Big November Crusade
  10. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Using'ang'anie penzi la asiekupenda

    Maneno kuntu sana!!!!!!
  11. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?

    Hapa lazima mkeshe
  12. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Fikra zako na muda ulionao

    Nadhani hapa mwisho wa siku Meditation itahusika
  13. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Mamba wanafanana zaidi na ndege kuliko kenge, mijusi

    Amesema wanafanana na ndege, je na Kuku akitamia mayai yake ili ipatikane jinsia inategemea na joto
  14. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Naombeni wenye uzoefu na duka la rejareja

    Wapi huko mkuu
  15. MTALAAM WA MAJIKO

    JamiiForums Tanzania Naombeni wenye uzoefu na duka la rejareja

    Ndugu ni biashara ninayoipenda na sio kwamba kuna mtu ananiuzia hapana, nauza mm mwenyewe japo kuna mradi mwingine unaniingizia kipato lakini hili duka linataka niingize na hela ya mradi mwingine hapo ndo nachoka kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom