Recent content by Mtaka Haki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    tunaomba vyama vya siasa viwe makini kulinda amani. Kila chama kihimize wafuasi wake ustaarabu na amani. Pia kwa vyama vinavyotuhumiwa kuvaa sare za wengine intelgensia itumike.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

    Kwa kuwa Dr. Grace Khwaya Puja amekuwa akifanya research Singida huenda ndiye atakayegombea kwa Mheshimiwa mgombea URAIS Mwigulu Nchemba.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ashauri maswali kwa wagombea urais katika kila chama

    Sasa hivi urais inaanza kuonekana kuwa ni kitu cha mchezo. Nadhani seriousness ni muhimu mno.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ashauri maswali kwa wagombea urais katika kila chama

    Karibu uongeze kwenye list AU weka USHAURI wako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ashauri maswali kwa wagombea urais katika kila chama

    Waheshimiwa katika baadhi ya makundi ya What'sapp niliona pendekezo moja la Kiongozi wangu mmoja wa dini ambaye Baadaye niliamua kuwasiliana naye kwa UFAFANUZI. AMETOA USHAURI UFUATAO KWA VYAMA VYA SIASA VIWE NA FOMU MAALUM YENYE MASWALI MUHIMU KWA WAGOMBEA WOTE. KILA CHAMA KITENGENEZE MASWALI...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata wa CHADEMA kata ya Arusha chini na wengine 335 wajiunga na CCM Moshi

    "Samahani Naomba mkumbuke kukunja kadi na angalao mzichafue kidogo" sipendi watu waendelee kusema mnaigiza.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA. UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA. UTANGULIZI:Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    mara ZOTE watu wa usalama wa taifa huonekana wapinzani na hiyo ndiyo njia ya kupata WAFUASI. Itakuwa msaliti wa kijinga kama akisaliti NA Kila mtu amuone ni msaliti. Mrema aliipinga CCM kuliko Zito na hata akipigwa na polisi. Leo kila mtu anajua Mrema ni nani. ZITO ukitaka ueleweke shitaki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Kumbe ni chama cha kupingana na CHADEMA na UKAWA? Haya yanajitokeza mara nyingi. Ni vigumu kuficha makusudi ya uanzishwaji wa CHAMA. Kwa hiyo hiki ni chama rafiki na chama tawala na malengo yake kuua UKAWA?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaomuunga mkono Zitto naomba jibu la swali langu!

    Anzisha thread yenye huo mtiririko wa matukio kama ulivyotolewa na Nipashe uone kama wataiacha. Hata jamii forums kuna MASWALI. Ila nashukuru jinsi ulivyoweka wazi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    kama ni porojo mbona wasilishitaki gazeti la Nipashe? Namba ZOTE za simu za watu asiwepo hata mmoja aliyeenda mahakamani? Haipaswi kuitwa porojo. Pia haya yanalenga uchaguzi mkuu kugawa kura.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili Dr. Slaa amedhihirisha Tundu Lissu alikurupuka na kuna mgongano ndani ya CHADEMA

    HII habari iliandikwa na Nipashe Je iliwahi kukanushwa NAOMBA mnisadie. Habari ndefu sana HII hapa. RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA. UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA. UTANGULIZI:Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Mr. Pasco suala hapa kwa sasa sio je Zito amefanyiwa sawa au la. SUALA hapa ni kuwa yaliyotokea ni mahakama kuitupa KESI ya Zito. Then Chama kumfukuza kwa kukiuka katiba. Umuhimu wa kufungua KESI inawezekana ulikuwepo. Kama katiba inatamka kuwa kiongozi akikipeleka chama mahakamani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Mchango wa thread HII ni kuwa. Tunapaswa kujikita kwenye ukweli badala ya kulaumu au kuweka visingizio visivyokuwa na ukweli. TUWE WAKWELI.
Back
Top Bottom