Mimi nampongeza mtoa hoja kwaani tukiendelea na hoja ya kila mtoto huja na bahati yake Taifa halitafika popote na tutabaki kuwalaumu wanasiasa bure. Embu jiulize mtu masikini wa kawaida anakuwa na watoto watano je, ataweza kuwahudumia ipasavyo? Ukizingatia saivi kila huduma mwananchi anatakiwa...
Wee jamaaa hizo data utakuwa umejitengenezea mwenyewe nimejaribu kuingia kwenye mtandao unaousema ni tofauti na madai yako. Kwaani Tanzania imekuwa ranked nafasi ya 200 kati ya nchi 229.
Rank
country
GDP - per capita (PPP)...
Ndugu yangu naona umeeleza vizuri na kwa mapana jinsi Rwanda wanavyopiga hatua, pamoja na kwamba sijafika huko kigari nadhani uliyoeleza yanaweza kuwa na ukweli furani. Lakini naona kuna viashiria vingine ulivyovitolea mfano kuonyesha kuwa Rwanda iko mbele zaidi yetu si sawa. Kwa mfano umeelezea...
Hili ni suala muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa mujibu wa takwimu zilizopo hususani kwa nchi zilizolipa umuhimu suala hili, kwa wastani raia walio ughaibuni wanachangia uchumi wa nchi zao zaidi ya misaada yote inayotolewa na mataifa yaliyoendelea. Nadhani ni mwafaka kufanya maamuzi...
Kwa kweli umejitahidi kiba maada ambayo hakika ina muguso mkubwa sana si kwa wazanzibari tu bali hata kwa wabara. Lakini imefikia mahali nachelea kukubaliana nawe asilimia mia kwa mia kwa sababu hii moja: Unaposema kunyimwa visa hao maofisa waliotakiwa kuhudhuria mkutano wa wa maendeleo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.