Recent content by mtafutaji2016

  1. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Infinixy zero 4 plus smart phone iko arusha call or whatsapp 0782 873523

    Infinixy zero 4 plus specifications Optical image stabilization FingerPrint ID recognition Deca-Core 2.1 GHz with Helio X20 (MT6797M) chipset and Mali-T880 20.7+13MP rear and front facing camera With flash 5.98 FHD IPS display with 1920 x 1080 pixel resolution, 368 PPI Corning Gorilla Glass 4...
  2. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Hp laptop on sale in Arusha

    Hp laptop iko kwenye good condition. Hard disk 500gb 2gb ram inbox for pics na price Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mbezi Beach nenda google map andika car and general Tanzania itakuletea direction Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda ofisin kwao tvs wanauza kwa jumla ila inategemea unachukua mzigo wa sh ngap Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Arusha sehem gan mkuu? Na mm niko arusha nina interest na biashara ya chakula
  6. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Nauza kibanda cha tigo Pesa..pamoja na laini za uwakala

    Biashara ya Tigopesa inanifilisi
  7. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Usaili TASAF

    Jamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine?? Nawasilisha
  8. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

    Equity bank hawana monthly charges.
  9. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Biashara isiyo na mtaji iliyobadili maisha yangu

    Doh nimecheka aisee
  10. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Yap Nairobi niliskia nina rafik yangu alishawah kufanya hyo business.
  11. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Ajali ARUSHA: Bwana harusi afariki ajalini akienda kusikiliza hukumu ya Mama yake

    Poleni sana..Mungu awatie nguvu.
  12. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Airtel Mnasumbua, Na Hakuna taarifa..!

    Internet imekuwa mbovu sana
  13. mtafutaji2016

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha unazidi kuonekana

    Point..wapambane na hali zao tu
Back
Top Bottom