majibu yameshatoka yanakatisha tamaa hatarii..... hiyo security officer wamefaulu wa kwanza ana 80+ ila cut off point ni 65... hiyo operation officer wamefeli wa kwanza yuko kwenye 60+ ila cut off ni 50 wameselect watu 27 kati ya 900+ waliofanya usaili
Imagine... Yaani hata mimi nimejiuliza sana...hawa wanaenda kuhesabu watu zaidi ya 60m wameshindwa kuweka majina ya watendaji 225k kwenye website yao kwa utaratibu mzuri wa kimkoa? Wanakaa wanasambaza majina nusunusu bila utaratibu wowote wa kueleweka..Sijui hiyo sensa itakuwaje au natakwim...
kuna na hizi..ukimpa macho matatu sisi anatupa jicho moja, we si unakijambio sijui tumia hilo kalio,utaliwa jicho mpaka uote kengeza na zingine za namna hiyo mtoa mada hajaziona ameona huo wa ngwea unao elimisha kabisa..... nachukia nyimbo za namna hii ni kinyume kabisa na maadili zinahamasisha...
yaani acha; walikuwa ni washamba kazi yao ilikuwa ni kulewa, kungonoka, kuvuta bange na kubwia unga mwishowe wakageuka mateja... asilimia kubwa ya wasanii wazamani waligeuka mateja kwasabau ya ushamba na ulimbukeni wa maisha wakawa target ya wauza unga.... yani walijua kuwatajirisha wauza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.