Interview TAA(Mamlaka ya viwanja vya ndege)

Kada zote wametoa majina ila TAA wametoa za mechanical tu, naona ngoma ishamalizwa ju kwa ju maana oral ni kesho
Angalia kwenye account yako huwa wanatangulia kuweka waliofaulu
 
Kada zote wametoa majina ila TAA wametoa za mechanical tu, naona ngoma ishamalizwa ju kwa ju maana oral ni kesho
Majibu yametoka yote mkuu.

Nimeona kulikuwa na nyomi vile, kumbe Airport ni hotcake aisee
 
Salaaam,

Shemeji yenu amebahatika kuitwa kwenye interview ya Nafasi ya Operation Officer TAA(Mamlaka ya Viwanja vya ndege)
Naombeni msaada kwa possible questions na pia asome nini na nini.

Ni hayo tu kwa sasa....!

Bonde la Baraka na wadau wote
Sasa tukikupa majibu,hiyo itakuwa interview,au wizi wa mitian!?kwa nini kila mtu anaamini njia za wizi,cheating Ili kufikia malengo?
Sasa ukishinda wakati ulipewa majibu,utajiona bingwa?au wewe ujari kama hata hiyo kazi unsiweza unachotaka ni nafasi ya kupata mshahara,kuhusu utendaji wa kazi,potelea mbali!!!
Mentality za namna hii,ndio unasikia,mgonjwa wa kichwa kakatwa mguu,wa mguu kapasuliwa kichwa,au drip imewekwa kwenye nyama badala ya mshipa!!
Jinsi ya kujibu interview,check you tube,wanaelezea vzr,uvae vipi,jinsi ya kujibu general questions,lakini kuhusu maswali ya taaluma,ujuzi uliosomea,hayo inabidi uwe nayo,si umesoma?,au hata shuleni "ulipewa majibu"?
 
Kwanini unakuwa na roho ya hivi mkuu??kwani ungemsaidia au kumuelekeza inafanyika hivi utapungukiwa nini??siku zote tunajifunza kutoka kwa watu
 
Kama alipinda vyema(kujibu kwa usahihi) kuikabili written, atakuwa katoboa
Tatizo TAA wanakuaga na practical sasa kwa flight operators inakuaga ngumu tuliwahi kufanya ya air management officer pale mwaka Fulani hivi
 
Hizi interview zenye hatua 3 nazo ni changamoto sana.

Unaweza kupita hatua zote za mwanzo ila oral ukaja ukazingua
 
😂😂😂😂Yani hapo ndo shida kwasababu practical huwa wanapima ability of event interpretation kwahiyo sio ngumu kivile
 
Back
Top Bottom