Recent content by Mtafutaji Asiyechoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya kujitolea inayolipwa au nafasi za junior. Nina shahada ya Sayansi ya Maji na Uvuvi (Bsc.Aquatic Science...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kazi

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya kujitolea inayolipwa au nafasi za junior. Nina shahada ya Sayansi ya Maji na Uvuvi (Bsc.Aquatic...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa wataalamu wa online jobs

    Shukrani sana Dr. Wansegamila
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa wataalamu wa online jobs

    Wakuu mambo vpi? Huku kukosa kazi kunatifanya tuapply kila kazi tunayoiona, ni changamoto. Niliapply kazi ya Data Entry Clerk katika kampuni inayoitwa Silverlief trading limited kupitia tovuti ya Ajira zetu (kwa kujaza Google form). Sasa leo nimeona email ya Ajirazetu yenyetaarifa za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni connection za uvuvi maeneo ya Dar

    Amka asubuhi na mapema nenda pale feri utakuta boti. Nyingi sana zinashusha dagaa na samaki wengine. Ongea na mabaharia wa boti utakazoweza na kama wataweza kukuunganisha na managodha wao itakuwa fresh sana. Baada ya siku kadhaa onyesha Nia ya kazi yako.. ukiwa na jitihada utapata boti ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kazi, professional au non professional

    Habari za majukumu waungwana! Mimi ndugu yenu mwanafamilia wa Jamii Forum nimerejea tena nikihitaji kazi. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Sayansi Akua na Uvuvi (Aquatic Sciences and fisheries) katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam mwaka 2020. Umri wangu ni miaka 27, mwanaume na mkazi wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Kila lakheri
  8. M

    JamiiForums Tanzania PCCB na vyeti vya darasa la saba

    #Sijui hata nilikosahe kuitwa kwenye usaili#
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote halalii Niko Mwanza mjini

    '''Mambo magumu kwa kweli'''
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Mwenye uhakika na hizi contents ndie anaeweza kuhoji
  11. M

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: job seeker Gender: Male Age: 27 years Education: Degree in Aquatic Sciences and Fisheries Experience: 2 years in Revenue collection : 1 year in Fisheries and Conservation Availability: as soon as possible Skills: Computer skills, management, evaluation and decision making skills...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Hongera mkuu na kila lakheri, na Mimi nikipata kazi nitakuja kutoa ushuhuda hapa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sonnabend Pediatric AIDS Foundation (SPAF)

    Kimbia sana, matapeli hao, na ukikubaki kutoa hiyo hela umeisha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Nashukuru mkuu nilifanikiwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Ngoja nijaribu Tena mkuu, Asante sana
Back
Top Bottom