Recent content by Mtafititafitiii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sina kazi, mpenzi wala marafiki, napata mawazo ya kujiua

    Hebu fikiria usingeenda chuoungetafuta kazi gani? Ungekuwa unaugua ugonjwa mbaya wa mauti muda wowote ungekumbuka kutafuta kazi au ungeomba upone kwanza? Ungekuwa huna macho wala mikono ungeomba kazi kwanza au macho yapate kuona? Je mikono na miguu na macho si unavyo? Je unafikiri hakuna wenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yajue maajabu 15 ya mwili wako

    Namba 10 imenigaragaza. Ufafanuzi tafadhali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa/ufumbuzi wa constipation(kukosa choo)

    Mm pia nimesumbuiwa na hiyo shida ya conspation. Dawa yake n kunywa maji sana na kabichi kwa wingi nalainosha mambo yanakuwa sawa kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Taasisi ya Moyo, Kikwete anastahili pongezi

    Kweli mm ni mpinzani saaana lakini kwa hili JK big up sana sana sana. Very wonderful institute
  5. M

    JamiiForums Tanzania Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Sawa nafkir pia kama una price list utupie ila sijui kama kuna simu imeuza mil8 au mil6 bongo
Back
Top Bottom