Too much of anything is harmful. ....kila jambo lina kiasi. ...kodi mpaka kutoa pesa benki? which type of taxes
is that? ??? Wanaoafiki waseme ndioooooooo. ....Ccm nzima ndiyoooooo
Hujui maana ya kujenga Taifa ndo maana unaongea usichokijua ila umekaririshwa maneno, Viumbe vyote hutegemea na ndo maendeleo ya viumbe hivyo iwe jiwe au maji, wadudu au wanyama. Kazi gani unayo zungumzia wewe? Tz tumeshakosa zaidi 470 mln us dollars. Mamilioni ya fedha yametumika na uchaguzi...
Kaka mkung'ute jando full nizamu itakuja so soon ! Na atasema we are from Tanzania and the mount Kilimanjaro is in Tanzania and we also have so much more National parks in Tanzania, mlenge na jando tu kwiiiiishaa jeuri
Kweli kabisa mheshimiwa Borat69, sasa mnakichokoza cha nini mpaka mnahaibika hivyo c ndo ulofa zaidi? Sasa nimejua malofa ni akina nani! He was suppose to use our swahili language instead of using that malofa language(English) while he can not speak it smart. Wewe ndo lofa original
Ndugu usipaniki kwa kias hicho, wezetu hutumia lugha za kwao sasa km Eglish haipandi c twanga kiswahili tu hizo the the za nini sasa? Huyu ni kiongoz wetu ni kioo kwetu pia , if English is bit tyt for him why don't he speaks swahili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.