Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

[quote uid=244489 name="youngkato" post=18185024]tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...

Are you sure?[/QUOTE]

8b829543378537cd25f1a05a14599940.jpg
kula sana hii

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni wmanaume miaka 25, nilianza kushambuliwa na fangasi nikiwa form two 2007, mpaka naandika huu uzi nimehangaika zaidi ya miaka kumi bila kupata mafanikio,

Nimezunguka hospitali kubwa na ndogo natumia dawa bila mafanikio, nimetumia dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio. Fangasi wa kwenye (tests) ngozi ya pumbu sehemu ya pembeni.

Naomba masaada wa dawa ambayo itanisaidia kupona kabisa maana nakosa furaha ya kuishi.

Nb: nimefanya vipimo vyote vya magonjwa ya ngozi vinaonsha ni fangasi.
Paka ndimu,alafu uje unipe mrejesho.

Ooopps pole sana Ndugu ..Ila nisuala LA kawaida na linalotibika..pole kwa kuzunguka na wakat mwingne najua hata unawaza kua Wenda zikaharibu utengenezaji Wa manii .......ila sio kweli hao ni fangasi wanaokaa njee ya ngozi tu na huwez kuwatibu kwa dawa za kienyeji ...uelewe tu kwamba Fungi wanaokaa sehem ya joto na unyev unyev huwa Mara nying wanakua katika spores form hawa huwa kuna madawa ambayo hayawatibu yaan wanauwezo Wa kupinga baadhi ya madawa yalomepesi mepesi .

Ushauri wangu.
NUNUA DAWA AINA YA WHITEFIELD OINTMENT INAAUZWA KATI YA ELFU MOJA MIATANO ---ELFU MBILI .......HAKIKISHA UNA BOKISA NGUO ZA NDAN ZISIZOPUNGUA TANO AU KAMA UNAZO SABA NI VIZUR ....ASABUHI OGA AU SAFISHA ENEO LOTE KA KENDE PEMBEN NA UUME WOTE ...TUMIA KITAMBAAA SAFI KUFUTA MAJI HAKIKISHA UNAFUTA PANAKAUKA .....KISHA UPAKAE ENEO LOTE HILO LILILOATHIRIWA ......NA JIONI PIA UJISAFISHE KISHA UPAKE IVYO IVYO ...N.B KUBADILI NGUO ZANDAN KILA UNAPOPAKA DAWA NDIO MUHIMU .....NA KUFUA IZO ULIZOVAA AWALI ....USIRUDIE KUVAA BOKSA BILA KUIFUA .......

DAWA HII KWAMARA YAKWANZA INAWASHA NAHII NIKUTOKANA NA UTENDAJI KAZI YAKE ..

NAKUAKIKISHIA NDANI YA SIKU 2-3 UTAONA MAJIBU NA UTAHISI KUPONA ILA NAOMBA UTAKAPOONA UMEPONA WE ENDELEA KUPAKA DAWA HII KWA MUDA WA MWEZI MZIMA .

USAFI NI MUHIMU SANA.

KWA WANAOUMWA MBA ....PUNYE ....FANGAS WOTE WA NJE ....NA GONJWA YANGOZI MENGINE .....USISUMBUKE KUMEZA MIDAWA AMBAYO HAIJAKUSAIDIA KITUU DAWA HIYO APO JUU NMEWAAMBIA .

MKUU UTANIJULISHA NDAN YA SIKU MBILI UKISHATUMIA HII DAWA.ASANTE.
Shukrani sana

Ugonjwa huu husababishwa na wadudu wanaoitwa candida na kawaida kila mwanamke anakuwa na jamii ya fangasi sehemu zake za siri na wadudu hao huwa wanamlinda mwanamke ili asishambuliwe na wadudu wengine.

Inapotokea wale wadudu wanaomlinda kuwa wengi sana ukeni badala ya kulinda mwili hugeuka na kuanza kushambulia na mwisho dalili hujitokeza na ndipo hapo tiba huwa inahitajika haraka sana ili kuzuia madhara mengine.

Kuna baadhi ya sababu zinazo sababisha fangasi kutokea ukeni na sababu hizo ni kama ifuatavyo:

Kutumia dawa za antibayotiki mara kwa mara na kwa muda mrefu, husababisha fangasi kwani dawa hizo huua wadudu wote wanaolinda mwili na kuacha uke ukiwa hauna kinga. Dawa za antibayotiki ni kama, Ampicillini, Amoxylline, Ciproflaxine, Doxylline, Erythromycine, Gentamcycine na nyingine nyingi hivyo basi, jamii isitumie ovyo dawa za antibayotiki bila ushauri wa daktari.

Sababu nyingine ni unene kupita kiasi. Mtu akinenepa anaweza kupata fangasi kwasababu unene husababisha jasho sehemu za siri nakuongeza unyevunyevu sehemu hizo pia michubuko kutokana na kubanwa na nguo ya ndani. Sababu zingine ni utumiaji wa dawa ya jamii ya steroid, dawa hizi ni kama Prednisoline, Hydrocortisone Dexameltasone na nyingine nyingi.
Hizi nazo hupunguza kinga ya mwili na kusababisha fangasi kuzaliana kwa wingi.

Pia kuna magonjwa yanayosababisha kupungua kwa kinga nayo ni kisukari, Ukimwi na magonjwa mengine yanayopunguza kinga ya mwili na kusababisha magonjwa nyemelezi.

Kuwepo na joto kupita kiasi na kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka pia husababisha fangasi sehemu za siri.

Sababu ni nyingi na hatuwezi kuzitaja zote.

Dalili

Dalili hutofautiana kutokana na mtu na mwingine ila dalili kubwa ni kutokwa na majimaji meupe wakati mwingine kama mgando wenye rangi ya njano ukiwa umeambatana na muwasho sehemu za ndani au kwenye mashavu ya sehemu za nje za siri.

Nje ya sehemu hizi za siri hutokea wekundu na maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo la ndoa.

Pia mgonjwa atajikuta akikojoa mara kwa mara. Tiba na ushauri Fangasi hutibika vizuri nakupona ila ni vizuri ukaenda hospitali na kufanyiwa kipimo cha mkojo ambapo chembechembe za yeast huonwa vizuri kwenye darubini.

Baada ya kupima ukigundulika una fangasi sehemu za siri njoo *Eden Herbal* tukupatie tiba yenye uhakika.

Usinunue dawa hovyo na kutumia utasababisha usugu wa fangasi, hivyo kutopona.

Kwa ushauri na matibabu ya fangasi zozote wasiliana na madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi

Similar Discussions

Back
Top Bottom