Recent content by Mtafiti Pro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Hazipatikani Tanesco.Kwa hapa Dar unaweza kuzipata kwa hawa wakandarasi @darwatcrafters. Simu 0694240393/0653535595
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Hii ni elimu ya bure, sijatangaza kaka:D:D
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    n Ni nzuri hasa ukitaka kumfundisha kijana maisha ya kujitegemea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Unaweza kuwasiliana nao ukajua utaratibu wao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni ngumu kutambua matumizi ya umeme kwa mtu binafsi, ni ngumu kudhibiti matumizi ya umeme kwa mtu binafsi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Ok
  7. M

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Sawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Prospectus ya Arusha Technical College (ATC)

    Kwakweli hata na mimi naihitaji, nimefuatilia sana sijapata muafaka. Kwa wakati huu tuliopo ni ajabu sana Chuo kutoweka wazi prospectus sababu yale mambo ya mtu kuingia kichwakichwa kusoma mivitu usiyoihitaji ishapitwa na wakati
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    Hongera sana mkuu.Hiyo PC ulisajili ituo gani na tuitions ulipitia wapi mkuu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    sawa mkuu, nitakuchek DM ikiwa nitakwama mahali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    sawa mkuu, nitakuchek DM ili unidadavulie vizuri zaidi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    Kivipi ndugu yangu, naomba nipe njia.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, nawezaje kufanya mitihani ya science ya form IV & VI kama PC Candidate?

    Habari wana taaluma.Mimi nilihitimu kidato cha 4 mwaka 2010 masomo ya biashara. Masomo yote nilipata D isipokuwa Book-keeping 'A' , Mathematics 'B' na History 'C'. Niliendelea advance masomo ya biashara pia (ECA) na kuhitimu mwaka 2013. Matokeo hayakuwa mazuri, sababu zilikuwa nyingi lakini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Habari wanajamvi. Hali ya sasa kiuchumi inahitaji biashara muhimu tu ili kuweza kuilinda pesa.Mahitaji ya chakula yanazidi kuongezeka siku hadi siku,na upatikanaji wake baadhi ya maeneo umekuwa mgumu kutokana na sababu kadha wa kadha. Leo nimeona tupeane mawazo mazuri kwenye biashara ya mazao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Lumumba na kesho ya Magufuli ninayoiona

    Demokrasia ni ngumu kuitekeleza kwa sababu haiendani na maumbile ya mwanadam. Baada ya utangulizi huu, Nakupongeza mtoa mada.Umejaribu kuliona tatizo ila hukuweza kuonesha suluhisho. Kama mwandishi mahiri mwenye kutaka kuionesha jamii wapi pa kuelekea ili iweze kufikia katika maisha...
Back
Top Bottom