aliyekatwa miguu miwili na aliyekatwa mguu moja wote wanapaswa kulalamika. kwa mawazo yako, unamaanisha aliyekatwa mguu mmoja anapaswa kumshukuru aliyemkata mguu kwakua hakumkata miguu yote. mayazo ya nusu chizi hayo!
jambo la msingi hapa ni serikali kuwapa pesa za kujikimu hao walimu...
Asnate kwa ushauri wako. Ila mwanzo ni mgumu, na hakuna benki inayoweza kumkopesha walimu mpya ambaye hujathibitihswa kazini. watu tunalia na mwanzo huu mgumu unaosababishwa makusudi na serikali yetu. huu mwanzo mgumu tunaotengenezewa, hauna matokeo mazuri, tusifichane.
kama walikua hawana uwezo wa kuajiri, wangeacha kuajiri kama walivyokua wameacha kuajiri tangu mwaka 2015.
kama unaona ni sahihi mwalimu kulia njaa kwasababu Rais kawanyima pesa za kujikimu, ona ni sahihi pia watoto wako wakipata elimu mbovu kwasababu ya kufundishwa na walimu wenye njaa kali...
unaonekana kama hujielewi. nani anachezea nafasi, mwalimu ajira mpya anayelia njaa kwa kunyimwa pesa za kujikimu, au serikali iliyogoma kumpa mwalimu ajira mpya pesa za kujikimu?
kwanza tambua hao wanaosubri ajira, wataajiriwa na watakuja kuungana na hao wanaotaabika kwa njaa zilizosababishwa...
kwahio unamaanisha kua serikali iko sahihi kuwanyima walimu wapya pesa za kujikimu, ili walimu hao waishi kwa taabu!
kwa maana kwamba mwalimu wapya kutolipwa pesa ya kujikimu ndio sahihi, na asiyependa huo usahihi basi na aache kazi!
badili maneno na uonyeshe kua utangefurahia kama ungeona serikali imetopa pesa za kujikimu ili tusiishi kama mashetani, hivyo tuwe na moyo mkunjufu wa kulitumikia taifa.
sifundishi twisheni na sina mapango huo. ila natahadharisha wanafunzi, wasikae wakitegemea sana huduma kutoka kwa walimu...
wewe mama umerogwa nini. hivi unafurahia juhudi za serikali kuwanyima walimu pesa za kujimu? hivi unajua madhara ya uamuzi haramu wa serikali kuwanyima walimu pesa za kujikimu?
eti sikusukumwa kua mwalimu. hivi moja ya sifa za kua mwalimu ni utayari wa kuteswa na serikali kwa namna yoyote na...
hawajalifanya chochote taifa. pia endelea kuunga mkono juhudi za makusudi zinafanyika ili kuhakikisha kua walimu hao hawalifanyii chochote taifa.
kichwa maji wewe
sio wote waliopata. hata hivyo, effects za serikali kuwanyima pesa za kujikimu hao walimu ni mbini zaidi ya unavyofikiria. haya mazoea ya serikali ndio yanayodhoofisha juhudi ufanisi wa walimu. haiingii akilini eti serikali imeshindwa kuwapa pesa za kujikimu walimu elfu tatu tu, tena walimu wa...
sasa kama hawana uwezo wa kupeleka watoto wao ktk shule za private na hawataaki kukemea maovu ya serikali dhidi ya walimu, basi waisome namba kwa kusubiri watoto wao wamalize shule. kumaliza shule kuna maana na kutoendelea popote.
ukitenda dhambi lazima uadhibiwe. kama wazazi nao wanatenda...
wasio na uwezo wa kuwapeleka watoto wao shuleni, wajikusanye wakemee matendo ya mazoea ya serikali dhidi ya walimu.
mfano mpaka sasa serikali ktk matendo yake ya mazoea, imegoma kuwapa pesa za kujikimu walimu ajira mpya 2017, hali inayowafanya walimu hao kuiishi kwa tabu sana
acha kukurupuka kitoto. kama na wewe ni muhusika, haraka iwezekanavyo, ongea na wenzako walete hela za kujikimu za walimu wa ajira mpya 2017, wanaishi kwa taabu sana. mnayofanya ndiyo yanayosababisha yatokee hayo unayoyakemea kinafiki.
ushauri wangu ni huu: mpeleke mwanao shule ya private. hata viongozi wa seriakli yetu hawawaamini hawa walimu wenye njaa iliyosababishwa na serikali, ndio maana watoto wao wanasomea shule za private. ukimhamisha shule nyingine ya umma, na kule kukawa na walimu wenye njaa iliyosababishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.