Recent content by Mt09

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Mgodi wa North Mara adaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi

    Hivi kumbe wezi kwenye migodi ruksa kuuawa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Alexander Mnyeti aburuzwa Mahakamani kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka

    Bado Mimi kumshitaki aliyekuwa DC wilaya fulani alinisumbua sana sababu hazieleweki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran: Waandamanaji 100 wadaiwa kukabiliwa na hukumu ya kifo

    Nyakati zinabadilika, utandawazi na athari zake ni halisia, mamlaka za Irani zinapaswa kusoma nyakati. Wakati haujawahi kudanganya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti DCEA: Dar, Tanga na Pwani ni vinara wa Dawa za Kulevya Tanzania

    Elimu dhidi ya matumizi na madhara ya madawa ya kulevya iwe ajenda ya kitaifa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe alia ubaguzi katika mfumo wa elimu Tanzania

    Elimu Bora katika Karne ya 21 inatakiwa imwezeshe mhitimu mambo makuu matatu; Kwanza, elimu imwezeshe mhitimu kuwa na tabia ya udadisi na kuyatafakari kwa kina mazingira/mambo/matukio yanayomzunguka kwa nia ya kubaini changamoto zinazomkabili katika kufikia anayoyatamani ili hatimaye kuweza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Msingi hadi kidato cha nne sawa ila...

    Tanzania ni moja ya mataifa masikini duniani ikiwa na asilimia kubwa ya watu wanaotegemea kilimo cha kujikimu na shughuli za uchuuzi wa bidhaa hususani chakavu ama zenye viwango duni kutoka nje kwa ajili ya kipato. Hali hii huwaweka katika hali tegemezi kiuchumi kutokana na njia zisizotabirika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kijiji cha Kitapi, kipo wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani. Kipindi nimehamishiwa kikazi nimekuta maji ni kuchota visima vifupi, barabara imefunikwa na manyasi, hakuna mtandao wa simu hadi upande kwenye miti, nyumba zipo mbalimbali na zipo msitu, huduma ya soko ni kuanzia saa kumi Jioni hadi saa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi 2023

    Bandari ya Bagamoyo ni sawa, ila SGR itasevu pakubwa katika kuongeza ufanisi wa bandari yetu ya Dar es salaam kwa kuongeza Kasi ya kupakua na kusafirisha mizigo kwa haraka. Hivyo tungesubiri impact ya SGR na ambayo ingetusaidia kujenga bandari hiyo ya Bagamoyo pasipo maumivu kwa wananchi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini mafanikio kupitia elimu yanaonekana kama mvua inyeshayo jangwani?

    Hongera kwa chapisho zuri. Pokea kura. Nakualika kusoma chapisho langu SoC: Watu Maarufu na Bidhaa za Wanyonge. Maoni na kura yako ni muhimu. Mt09
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuzaji na usambazaji wa samaki kwa njia aplikesheni maalumu ya samaki kiganjani mwako katika jiji la Dar es Salaam

    Safi huo ni ubunifu mzuri wa kutumia tehama katika kurahisisha biashara. Nimekupa kura. Hata hivyo karibu katika chapisho langu SoC 2022 - Watu Maarufu na Bidhaa za Wanyonge. Naomba maoni yako na kura yako ikikupendeza. Asante
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    Chapisho maridhawa, nalipa kura yangu. Hata hivyo naomba maoni yako na ikikupendeza kura yako kwenye chapisho langu " SoC 2022 - Watu Maarufu na Bidhaa za Wanyonge" lililopo mtandaoni. Asante.
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi unavyoweza kumudu kukabiliana na soko lenye ushindani

    Makala safi sana, nimeipa kura. Hata hivyo naomba maoni yako kwenye chapisho langu SoC 2022 - Watu Maarufu na Biashara za Wanyonge, na ikikupendeza naomba kura yako. Asante.
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwepo wa bidhaa bandia na halisi sokoni: Upi wajibu wa mlaji kabla ya kununua na kutumia bidhaa?

    Hongera kwa kutukumbusha wajibu wetu walaji, ni andiko lenye tija nakupa kura yangu. Hata hivyo naomba maoni kwenye chapisho langu SoC 2022 - Watu maarufu na bidhaa za wanyonge lililopo mtandaoni na ikikupendeza naomba kura yako. Asante.
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwepo wa bidhaa bandia na halisi sokoni: Upi wajibu wa mlaji kabla ya kununua na kutumia bidhaa?

    Hongera kwa kutukumbusha wajibu wetu walaji, ni andiko lenye tija nakupa kura yangu. Hata hivyo naomba maoni kwenye chapisho langu SoC 2022 - Watu maarufu na bidhaa za wanyonge lililopo mtandaoni na ikikupendeza naomba kura yako. Asante.
Back
Top Bottom