Recent content by msyomole

  1. msyomole

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. msyomole

    Waandishi wa habari mkoa wa Mara hawatoi taarifa za matukio mengi kwa wakati! Sababu ni nini?

    Walikuwa wawili kaka yake amefariki amebaki mdogo mtu hivi inawezekanaje sisi tuliopo mbali tunajua Ila wao wako karibu wanashindwa au hawaruhusiwi kuhoji mtu mkoani Mara maana ukiangalia hata taarifa za mkoa zipo chache
  3. msyomole

    Waandishi wa habari mkoa wa Mara hawatoi taarifa za matukio mengi kwa wakati! Sababu ni nini?

    Wanaachaje kuipata wakati mdogo mtu yupo hospital ya mkoa ya Mara hivyo nivitu vya muhimu kuvijua
  4. msyomole

    Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

    Anaongeza credit Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  5. msyomole

    Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

    Ngapi huko jamani Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  6. msyomole

    Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-1 KMC FC | Uwanja wa Mkapa | Juni 19, 2022

    Nipeni matokeo mm nipo koromije Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  7. msyomole

    Angalizo: Usitaje jina lako halisi kwa Madanga ya Morogoro mjini

    Nikweli hilo maana nilikutana nao namm Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  8. msyomole

    Mitandao ya simu imepunguza tena mb.

    Mm nimepungiziwadakika na imebaki kiwango kile kile Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
  9. msyomole

    Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Hapo inatakiwa aachane na mitandao atafute watu wa busara kwenda kuzungumza nae pia mapenzi yana nguvu hao ma DC wa inst walimponza et ana mzungu siyo level zao aliotangulia nao Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  10. msyomole

    Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Sema mtu akishamove on aise kurudi na ule moyo wa mwanzo nikazi Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  11. msyomole

    F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Aliyeko karibu na mm aagize kinywaji nalipa Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  12. msyomole

    Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Hiyo haitasaidia maana hata mm ninategemea kwenda huko Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  13. msyomole

    Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Watu wako na mambo yao Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  14. msyomole

    Ameacha kutoa pesa ya matunzo kwa mtoto baada ya ku-hack simu yangu na kukuta chatting WhatsApp za HR wangu

    Ninataka nihack Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
  15. msyomole

    Ameacha kutoa pesa ya matunzo kwa mtoto baada ya ku-hack simu yangu na kukuta chatting WhatsApp za HR wangu

    Naombea mnipe link ya kuhack Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom