Recent content by msweken

  1. msweken

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

    Tukisema kuna mbegu zimetumika vibaya watu mnaona kama tunawazarau ila ukweli ni kuwa baba ako alitumia mbegu zake vibaya. Unashindwa kuilaumu CCM na serikali kwa kuruhusu haya unailamu CHADEMA kwa kutokusema? Condom moja tu ingezuia mjinga mmoja
  2. msweken

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndio "Mr. Clean" wa kizazi chetu

    Nia yako tumtukane ili tuanze kutafutwa? Binafsi siingii huo mtego ila itoshe kusema ndugu mwandishi njaa zinaharibu utu wa mwanadamu.
  3. msweken

    JamiiForums Tanzania Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Sisi BAKWATA hatuna cha kusema isipokua ndugu zangu tusile kitimoto
  4. msweken

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Watawala wanachokitafuta watakipata
  5. msweken

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Ifike mahala wazazi tuwe tunapiga puli kuepuka takataka kama hizi
  6. msweken

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Uzuri uchafu wa Rostam sio wa kutafuta, unajulikana na kila mtanzania mwenye akili timamu
  7. msweken

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Usiache kunywa pombe
  8. msweken

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini lengo la ziara ya Ghafla ya Paul Kagame hapa Tanzania 27-04-2023?

    Una taarifa za Ikulu kwamba hii ziara haijapangwa muda mrefu na imekua ghafla? Unaweza kutuambia ughafla wake upoje? Aliamka asubuhi akasema kesho naja Tanzania?
  9. msweken

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

    Badala anywe bia anakunywa energy drinks! Haya sasa
  10. msweken

    JamiiForums Tanzania Kisa nina degree ya Chuo cha Moscow Russia, Jirani yangu mwalimu kaninunia

    "Muhaya". Hii inatosha kujua wewe ni mtu wa namna gani
  11. msweken

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yawagusa Watanzania, apongezwa na kuungwa mkono kila Kona

    Upo chap...ushapata taarifa za kupongezwa nchi nzima? Hongera mkuu kwa kuweka namba ya simu, utafikiwa muda ukifika
  12. msweken

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Hili nalo unataka akueleweshe???
  13. msweken

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Samahani ndugu..umri wako unaendana na ulichokiandika au umeandika kwa bahati mbaya?
  14. msweken

    JamiiForums Tanzania Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

    Yaani uuziwe nyama ya nguruwe kwa bei ya nyama ya mbuzi? Unajua thamani ya nyama ya nguruwe lakini? Ni sawa na kusema nimeenda kunua mafuta ya taa wakanifanyia uhuni wakanipa dizeli.
Back
Top Bottom