Recent content by MSUYA MTOTO

  1. M

    JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

    daaah, watu waliowengi wanaishutumu jkt, kwa maoni yangu naona ni jambo jema, sema ni kwel kuna baadhi ya vitendo vya unyanyasaji ikiwemo matendo ya ngono, sasa basi ni vyema hatua njema zichukuliwe ili matendo hayo yakome na si kusema lifutwe, vifo mafunzon vinaweza kusababishwa na udhaifu wa...
  2. M

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    kitaja umesema kwel kaka, kwa uelewa wangu wa biblia miujiza watu wa Mungu wanaifanya ili kondoo waliopotea wamrudie Mungu na sio kutajirika namna hiii.... people lets wake up na tujaribu kuridhika na tulivyonavyo...... basi kila Mtu atumie annointing water alafu tuone dunia itakuaje, and why do...
  3. M

    Wanawake walikuwa zamani

    well said brother, siku hizi wanajikuta na sauti....ooh wanataka haki zao
Back
Top Bottom