Recent content by MSUNZU

  1. M

    Live update: Simba SC va Azam FC

    Jamani hebu tujuzeni ngapi ngapi mpaka sasa.
  2. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Shukran mkuu kwa maelekekezo yako
  3. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Shukran mkuu nimekuelewa
  4. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Hiyo lnb ya ku inafungwa vipi unatoboa ile ya c band ama unaibandikiza juu yake tafadhali nieleweshe mkuu na ni c band ya local ama ya aljazeera.
  5. M

    Ushauri kwa Watanzania tununue madish ya chanel za bure

    Mimi napata 10 tu.Naomba frequency za TP 1 na Tv imaan mkuu
  6. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Nina dish la futi 6 napata vizuri eatv,itv,na capital.Lakini ni muda Tbc1 na startv sipati kabisa.Je naomba kujua kuna mabadiliko ya frequency naomba mnijulishe.
  7. M

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    R.I.P. Sharo milionea
  8. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Jamani vipi Tbc1 na Star tv kuna mabadiliko ama vipi?
  9. M

    frequence za chanel 10.

    Mkuu naomba kuuliza hivi ni receiver gani ina nguvu kwa kumata?
  10. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Mkuu vipi TBC1 na STAR TV kuna mabadiliko yoyote maana sizipati kabisa.
  11. M

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    Swafii sana mkuu sasa mambo shega
  12. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Shukruran mkuu Arselona kwa kutuelimisha Mungu akuzidishie elimu,fahamu na akupe afya njema. Amin
  13. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Sawa mkuu nasubiri
  14. M

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Nina dishi la 6ft napata chaneli za bongo.Nataka kuweka lnb ya ku nipate za south africa na nollywood.Naomba kujua nitaiweka wapi na nahitajika ninunue vifaa gani.Kama kuna picha tafadhali naomba nione vipi lnb ya ku inakaa.
  15. M

Back
Top Bottom