Recent content by msunga

  1. M

    Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    Maamuzi ya muungano ni ya wananchi wote' hivyo wapuuzi wachache wasituvuruge na wingi wa serikali wazitakazo kwa sababu zao' tudumishe muungano wetu siku zote
  2. M

    Kumbe Lipumba alishinikizwa na Mbowe na Mbatia kujitoa kwenye Kamati ya Uongozi

    Hata m pia nalishangaa hilo la akili ndogo ya kifato cha 4 (b) kuishinikiza akili kubwa ya profesa!!
  3. M

    Mbowe: Ni kweli UKAWA tulifikiria kujitoa bunge la katiba!

    Yeye ni nan Tanzania nchi yenye watu zaid ya milion 40!! Akijitoa yeye wapo wengine watakaosimama kidete kuijenga katiba ya nchi yetu' ni vyema walivyofaham na kugundua jambo ambalo wangelifanya lingekuwa la kipuuzi sana na lisilo na maslah kwa watanzania' ni daliki ya uoga na kukimbia kwenye...
  4. M

    Hali siyo nzuri kiuchumi kwa vijana Arusha

    Ww kukaa Arusha mwezi mmoja ina maana ndo umeijua sana Arusha na hali yake kiuchumi, ina maana wazawa na waliopo Arusha hawalion hili kama lipo na ina maana hawajitambui??? Labda ungejaribu kufanya utafiti kuhusiana na hili
  5. M

    Tathmini matokeo ya uchaguzi Kalenga 2010- CHADEMA wana mtaji

    Chadema hawana chao zaid ya kuibua hoja zisizo na msingi wala mashiko,wamefilisika kisera na kimaudhui, hivyo hawana jipya, Naiman na CCM
  6. M

    Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

    Hv ww kweli ni mtanzania mzalendo mpenda aman??? Au umetumwa, maan kazi yako ni kufikiria ufitinishi na uchanganishi siku zote, kama huna jambo la msingi la kujadili kuhusu maendeleo ya nchi yetu sio lazima uandike'
  7. M

    hizi hapa ndo tofauti kati ya CCM na CHADEMA

    Lipi ni jini kati ya CCM na chadema!!!! Kuna vyama vipo kifreemanson had dam imwagike ndo wapate umaarufu, chadema siku zote hufanya fujo na maandamano ili mrad tu wamwage damu ili umaarufu wao uendelee, CCM inategemea wananchi na mikutano kupata umaarufu, hivyo tafakari vizuri kabla ya kuandika...
  8. M

    Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    January Makamba ni kiongoz ambaye ana hotuba zenye mashiko ya kitafiti na za mvuto wa kisiasa' ukiacha mkuu wa nchi naamin January ndiye kiongoz mwenye hotuba za ushawishi,
  9. M

    CHADEMA tena: Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya ya Magu wafukuzwa na uongozi wa Kanda!

    Siwalaumu cdm maana wamezoea kufukuza wajanja hasa wasiokuwa wa kaskazin' sijui watakuea lin wanasiasa hawa jamaa
  10. M

    Lusinde alikubali kushindwa ila alidhamilia kuuwa kata ya mpyayungu

    Kweli ww ni manyanya' sitaki kuamin kama kijana wa kitanzania mwenye kuipenda aman kutaka kuwadanganya watanzania wasioifaham kata ya mpwayungu na wasijua yaliyotokea mpwayungu!! Binafsi nimehudhuria kampen za mpwayungu na mbona CCM hatulalamiki namna mlivyoleta vijana zaidi ya 50 kutoka mwanza...
  11. M

    Mvurugano Bunge la katiba: CHADEMA yatishia kususia bunge hilo

    Tatzo mbowe ni mvivu wa kufikiri' ishu ya wana ccm kuwa wengi ni kawaida kulingana na wingi watu na kujitambua, binafsi nashindwa kumuelewa mbowe kwa kudhan kila siku zote umaarufu wao huletwa na migomo, ifike hatua tutawachoka kwan wao ni kina nan, Nawashauri tu wana-chadema wawe na utaifa...
  12. M

    Mkuu wa Wilaya ya Bunda amdhalilisha mwalimu

    Hao vijana inaelekea ni wazoefu na kale kamchezo kachafu!! Had chupa ziingie duuuh
  13. M

    Mkuu wa Wilaya ya Bunda amdhalilisha mwalimu

    Unafaham kanuni na maadili ya utumishi??? Mtumishi wa serikali haruhusiwi kuwa mwanasiasa bali zinamruhusu kuwa iman na chama fulan
  14. M

    Nikifika Tz inshallah kitu cha kwanza ni kuipiga kibiriti kadi CHADEMA

    Chadema ni chama cha watu wasiojitambua na kuishi kiharakati badala ya kisiasa' wao ni kina nan had wawazuie wananchi kununua kazi zao! Siku tukiwapa nchi hawa watu tutalia na kusaga meni
  15. M

    JK aitabiria CCM kifo

    Mtakufa ninyi' mtaiacha CCM madarakan
Back
Top Bottom