Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,469
huyo mwl ni lazima atakuwa mburula tu .mkuu wa wilaya ya bunda joshua mirumbe amemdhalilisha mwalimu wa shule ya msingi kung'ombe kwa kumpinga ngumi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya.kisa kilichosababisha mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu huyo ngumi ni mwalimu huyo kuwa upande wa upinzani badala ya kuwa ccm.je ni haki mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu ngumi kwa kuwa hayuko upande wa chama cha mteule wake.
kwanini na yeye asimtwange ngumi huyo mkuu wa wilaya ili ku balance mambo ?