ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
TOFAUTI ZA WAZI KATI YA CCM NA CHADEMA:- CHADEMA Inaipigania
Katiba Mpya Kwa niaba ya Watanzania Wote Nchini. CCM Inaipinga
Katiba Mpya Kwa niaba ya Chama na Vigogo Wanaoutaka Urais 2015.
CHADEMA Inapinga Ongezeko la Posho Kwa Kupaza Sauti Bungeni Kwa
niaba ya Wanyonge ambao ndio Walipa Kodi. CCM Wanataka Posho Ili
Kushibisha Matumbo yao maana Wamechaguliwa Ili Wakale hata bila
huruma Kwetu Walipa Kodi. CHADEMA Inapendekeza Kura ya Siri Ili Kila
mmoja awe na Uhuru wa Kufanya maamuzi ya Kidemokrasia Bungeni.
CCM Wanalazimisha Kula Iwe ya Wazi Ili akina Kangi Lugola Waonekane
Wanawaunga Wananchi Mkono au ni Chama. Ikumbukwe Kwamba, lengo
la hapa ni Kuyapuuza Mawazo ya Wananchi na Kuyakubali yale ya CCM
hata Kama huyapendi. CHADEMA Inapinga Vikali sana Ufisadi, Dhuruma,
Unyanyasaji, Uonevu, Kuuza Twiga, Meno ya Tembo na Dawa za
Kulevya. CCM Imehalalishaji Matendo hayo maovu na Kuyafanya Kama
Kitega Uchumi wa Chama hicho. Mfano:Kinana anamiliki Meli ya
Kusafirishia Meno ya Tembo Kwenda Uchina na Bara Hindi.