Mwanandani kwa Waislamu pia hua pembezoni mwa kaburi haiwi katikati ya kaburi.
Kama uliwahi kuona Waislamu wamechimba mwanadani katikati ya kaburi ujuwe watu hao wanahitaji kuelimishwa.
Yesu yeye mwenyewe ni mwana adamu, ameumbwa. hana uwezo wa kumponya mtu.
Mwenye uwezo wa kumponya mtu na uwezo wa kila kitu ni mmoja tu, naye ni yule aliyemuumba huyo Yesu.
Kupeana mikono kwa waislam ni suna, kwa hiyo huwezi ukasema kuwa hupendelei kupeana mikono na wenzio kwa kuwa huo ndio utaratibu wako. Wewe huna ruhusa ya kujitungia utaratibu. wako mwenyewe bali unatakiwa ufuate suna.
Unatakiwa ufuate utaratibu ule ule aliokuja nao Rasulu Laah sala lahu alaihi...
Kwani simu ina mipaka ya kupiga?
Tayari umeshaelezwa kuwa U.K unanua simkad kwa cash bila ya kitambulisho. Unachofanya wewe ni kijizungusha na kutoa madai yako yasiokuwa na msingi.
Hiyo kuulizwa jina lako na Post code haina uhusiano na hayo madai yako.
Kuulizwa jina na Post code ni jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.