Recent content by msukuma msweetie

  1. msukuma msweetie

    JamiiForums Tanzania Watumishi sita MSD kortini wakidaiwa kuiba, kusababisha hasara Tsh. Bilioni 14

    Hii ndo inaitwa name and shame au🤔🤔🤔🤔
  2. msukuma msweetie

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

    Sema bax tu..bunge lingetungq sheria ijulikne kabisa kuwa hakuna kuhama ukiajiriwa serikalini..watu wajue moja basi.
  3. msukuma msweetie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pisi kali wote samahani sana, safisheni mifereji ya kwenye chemba zenu vizuri, tafadhali

    Uwe unawaogesha before match mkuu
  4. msukuma msweetie

    JamiiForums Tanzania Kama vijana mna kikundi cha ujasirimali mnataka mkopo wa 10% ya halmashauri soma hatua hizi hapa

    Kwa upande wa wanaume wamesahihisha umri mwisho ni miaka 45
  5. msukuma msweetie

    JamiiForums Tanzania Usisiome kozi hizi..!

    project planning management and community development,, serikalini kupata ajira ni mtihani
  6. msukuma msweetie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mliooa tayari mlifikiaje kufanya maamuzi?

    haya
  7. msukuma msweetie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

    Jamani hongera sana.kila la kheri ..Mungu aliyekupa wewe akanipe na mimi...
  8. msukuma msweetie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vidokezo vya kuingia katika mahusiano yenye afya 2023

    jaman wakikupa tips naomba unistue maana nshajichokea vijana hawa wa mama sa100 siwaelewi wanataka nini
  9. msukuma msweetie

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    jamani kamba hizi...hahahahhaahahahahahahahaah
Back
Top Bottom