Am fan wa keeping up with the kardashians..this week wamekuwa wakionyesha marudio ya j2 iliyopita.
Nasimulia coz kuna part inahusiana na maada hii..step dad wa kina Kim alitelekeza watoto wa kiume wawili afu saiz anajaribu kujirudi, ktk hawa wawili the younger one is 29 yrs but analalamika kwa...
My dad has ever been responsible when i was young with my little brothers n sisters..at least mimi alinikaririsha table (kuzidisha), shika zaburi ya 23, nlifundishwa kuimba nyimbo za mwimbieni bwana kwa kilugha cha asili yetu, alikuwa anawahi kurudi home tunachoma mahindi, nyama, ukimwambia...
Pole, but story ina walakini. Mmeo mzee? Ulimpendea nini babu au na wewe ni hawa wadada wa mujini wenye kupenda miteremko? We ni Mke wa ngapi? Mmh 27 four kids?
Nna wasiwasi unatafuta ushauri but you can use this chance kuwashauri wasichana/Wanawake wenzio kwa kuwahadithia mkasa wa maisha...
Wako wa Zamani au nae hamnazo?
Unajua kuwajumuisha watu wote ad if they ol have the same xter ni kuwavunjia heshima wanawake wote plus your mom n aunties.
Chromium hongera kwa mfano mzuri. Ni kweli ukiwa mwaminifu kwa Mungu He will never let you down Sema shida tupo nusu nusu sana. Labda me niseme jambo moja its better mtu aamue kuwa baridi au moto ucwe kati afu uhisi Mungu hajakusaidia.
Afu dhambi dhambi tu..ukitest watu kumi biblically una ndoa...
Sio kweli ndugu watu wameolewa virgins na wanaume wanawatenda ka nini na wapo walioolewa used na wanaheshimika na wenza wao. If you are keeping it for that return think twice n pray harder
Yaani huyo Ivona simpendi to be honest. Kweli uzuri uko machoni pa mtu coz huo uzuri sihuoni hapo.
Simpendi coz namwona kama Wolper ivi..ongea flani fake wenyewe mmeibatiza jina eti confidence, ana swaga flan ivi I guess kuna mtangazaji anamuadmire sa anajaribu kupaste xter..kwanza mara...
Irizar Huyu ndugu hata alirudi leo hela haendi..si unaona kuna kesi kibano still ye anakula hata mtaani.
Adhabu za watu kama hawa ni ivo ivo next tym i will be happy kuisikia kanyolewa nywele kwa kunyofolewa bila ganzi. Mpango mzima ni kujichukulia sheria/maamuzi mikononi especially kwa sie...
Haitishi chochote..mbona stori za kawaida sana, wangemg'oa na kucha na neno bila ganzi ndo ajue.
Me nyie watanzania wenye kutoa pole kwa watu wenye scandal za kihuni siwaelewi kabisa..i guess leo mkisikia waliomfanyia ubaya Ulimboka au Kubenea wamemwagiwa tindikali mtaanza masikini...
Sa nyingine binadamu wanafiki sana, Hivi kama mtu ni tajiri wa unyama, ubabe na unyanyasaji kiasi hicho bado anastahili pole..cjui upone haraka..then arudi wapi?
Kama tuhuma ni za kweli, uguuaa wee tena usife haraka, i think he needs 15 yrs za severe suffering before the hell welcome him.
Inawezekana 26 alikuwa anajiona kachelewa...unajua most of wapendwa hawajasoma, so age ikivuta kidogo tu wao mawazo ni kuoana ; fanya utafiti mdogo utagundua wanaoana wakiwa wadogo wadogo. Kumbuka mwenzio alikuwa kiongozi wa sifa so possibly she wanted to be a role model kwenye kuolewa pia.
Yes...
Habari inayoendelea mujini wanayo sana tu...wanajifanya jeuri in public view but am telling you currently they do experience the so called sleepless nights...chezea cdm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.