Recent content by MstahikiMeya

 1. MstahikiMeya

  Edward Lowassa special thread

  Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu...kuna mfata mkumbo mmoja huku yupo taabani presha kama sio kisukari...hii yote kutokana na walio mtegemea kufeli kwa kishindo amekuwa na msongo wa mawazo toka juzi ...leo jion hali imekuwa mbaya ANAOMBA USHAURI ATUMIE DAwa Gani ya kuondoa .msongo wa...
 2. MstahikiMeya

  Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

  amekamatwa st gasper dodoma akiwa na pesa nyingi kwa ajili ya kuhonga wajumbe wa mkutano wa CCM
 3. MstahikiMeya

  Mtoto wa mwezi mmoja kutoka maziwa puani

  Wakuu habari za leo Mwanangu wa mwezi mmoja anatokewa maziwa puani hali hii imejitokeza wiki ya pili toka kuzaliwa kwake. Sasa jana imeenda mbali yametoka mpaka maskioni . Wakuu nini kinasababishwa na hii hali. On my way to hospital. Je kuna mdau ameshakutana na hali kama hii nipo njia panda.
 4. MstahikiMeya

  Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

  HAKIKA WEWE NI KICHAA UNAEJITAMBUA KUWA WW NI MWENDAWAZIMU...mwanaume alie kamilika hawezi kuongea utumbo kama huo dah..haki ya mungu
 5. MstahikiMeya

  Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

  labda nitumie neno kutahiri
 6. MstahikiMeya

  Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

  mchanga....nataka in sha allah awe amepona kabla ya arobaini
 7. MstahikiMeya

  Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

  NDIO NAELEKEA HAPO MKUU shukran
 8. MstahikiMeya

  Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

  Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar Shukran
 9. MstahikiMeya

  Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

  iissssshhhh sasa huu ndio utumbo gani....
 10. MstahikiMeya

  Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

  naomba namba yake kuna kitu nataka kumuuliza
Top Bottom