Jamaa itakuwa alikuwa hawaamini ndugu, angewaamin na kuwapa mkanda wote. Sahz angekuwa anakula kuku kwa mrija ughaibuni.
Pia, mwanasheria ilibidi ajiongeze hapo na angetoa ishairi wa kushirikisha ndugu.
Naunga mkono hoja.
Nilikutana na mmoja nkajua nipo peke yangu kumbe kuna mwingine, hadi nikahisi dini amefosiwa. Mimi nilijua nimepata wa peke yangu lakini ana mwingine.
Jamaa acha kuyumba, kama ni O negative nenda kapime haraka sana ili muweze kumuokoa mtoto wenu au watoto wajao.
Huwa wanasema kama atajifungua salama mtoto wa kwanza basi watoto wengine hutapata zaid ya ujauzito kuwa unatoka bila sababu.
Nenda kapime na kapate ushauri wa daktari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.