Recent content by msomi johannes

  1. M

    Mke wangu ana mahusiano na dereva wa bodaboda, mbaya zaidi anamuhonga pesa zetu za akiba

    Nilimkuta akiwa bikra.hicho ndo kinachoniumiza zaidi maana nilimwamini sana
  2. M

    Mke wangu ana mahusiano na dereva wa bodaboda, mbaya zaidi anamuhonga pesa zetu za akiba

    Habari wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 29 nimeoa mke ana miaka 24 ,tuko kwenye mahusiano kwa miaka mitano sasa tumebarikiwa watoto wawili. History yangu na huyu mwanamke nilikutana naye akiwa 18yrs. Tulikubaliana tukaoana alinikuta nikiwa vibaya sana financially na timepitia vipindi vigumu mpaka...
  3. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana tu. Tena ile ya mbuzi katoliki
  4. M

    Rais Magufuli mpaka afanye nini ili idhihirike hafai?

    Kweli uk Hili ndo tatizo la akina mange and co. Wao hudhani democracy ni one way traffic . Kama ukitoa maoni tofauti wao ni matusi na block inakuhusu. Je wakipewa dhamana wataeza kusikiliza na kutekeleza maoni ya wenye mtizamo tafauti(the pot calling kettle black)
  5. M

    Sport Extra ya Clouds wamempotosha Saimon

    wewe ni mzushi kama huna ushaidi usingetuletea hii taarifa
Back
Top Bottom