Recent content by Msolwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Carina Ti inauzwa

    6m unachukua?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Safi sana kichaa kapewa Rungu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

    Umbea mwanzo mwisho
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Kwa kulisaidia Taifa naomba kushauri kwamba hawa viongozi wetu wanaposafiri kwenda nje ya nchi watumie Economy Class badala ya kutumia Business class, na hapa nyumbani usafiri wa Ma-vx tuwabadilishie na kuwapa Suzuki Vitara ambazo hazina bei mbaya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji achukua fomu ya kugombea Ubunge Ludewa

    Ametumia haki yake ya kikatiba
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Uchaguzi hata ukirudiwa mara 10000000 bado CCM itashinda, na sababu kubwa ni kwamba hatuna tume huru ya uchaguzi hapa Tanzania. Tume iliyopo itafanya madudu yaleyale iliyoyafanya kwenye uchaguzi feki uliopita.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ina maana Davis Mosha ni sawa na "Yahaya"
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Davis Mosha ni kijana mwema sana, alikuwa na mipango mizuri sana na moshi mjini. Alitaka kuijenga Moshi iwe kama Dubai, lakini bahati mbaya wapiga kura hawakumuelewa na wameamua kumuweka pembeni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Kwikwikwikwikwikwikwi. Mzee wa Monduli anawapelekesha ma-ccm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Hotuba ni nzuri sana na imesheheni kila idara.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Magufuri kazomewa Mbeya, Mkuranga, Bunju na Mbezi Luisi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Mimi na Nape tunatofautiana kiitikadi kwa kiasi kikubwa sana, lakini nimesikitishwa kusikia amepata ajali. Ninampa pole na ninamuomba Mungu Baba amponye haraka pale alipoumia ili aweze kuyakabili majukumu yake ya kila siku.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Hata akihama Mbowe na Ndesamburo, bado tutamchagua Lowassa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maadili nchi hii kwa vijana yamepungua sana na hakuna hata kingozi mmoja analiona hilo

    Na pia kuna kijana anaitwa Chriss Lukosi, huyu amekosa maadili kabisaaaa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Combine harvester- kubota dc 60,dc 70

    Kwa bajeti uliyonayo kupata mashine nzuri ni ngumu sana. Ninafanya biashara hiyo ya kununua mashine za kilimo na kujengea barabara hapa UK na kuzileta Tanzania. Kwa msaada zaidi ni PM
Back
Top Bottom