Recent content by msolopagazi1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wafukuta NCCR - Mageuzi

    Mbatia amevuna alichopanda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nitamwona Magufuli yuko tofauti kidogo kama walau akifanya hivi...

    Ni ulimbukeni tu unakusumbua wewe hakuna kitu. Wewe unafikiri wakenya wanakuchukulia kama Mkenya?!! Si ajabu unabanagiza madhare halafu unajidai umeukana utanzania...... Shame on you....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Umbumbumbu nao Shidaaa ... Soma ibara 57 2(f) ya katiba ya JMT utapata jibu la Ukomo wa Uwaziri ....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpeleke Lowassa Mahakamani kama ni fisadi

    Kwa nini Chadema ilipomuita fisadi na kudai ushaidi wanao wakaanzisha na Operaton Sangara wakazunguka nchi nzima wakimtuhumu hawa kumpeleka Mahakamani?!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hivi nyie mnaojaribu "ku mshauri " Mh Rais Magufuli ni nani Kati yenu nyie na Mh Magufuli anawafahamu vizuri hawa wabunge wa CCM ? Yeye kafanya nao Kazi kwa miaka 20 katika wizara mbalimbali na Baraza la Mawaziri, katika kamati Mbalimbali za Bunge hivyo ana wajua vilivyo. Ninyi wengine mna chu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kweli watu wengine wanasikitisha katika mtazamo yao. Tunaambiwa kwa miaka 54 ya Uhuru hakuna kilichofanyika ,! Ila Nyerere Aliweza! Nyerere katawala miaka 24 hii inaesabiwa wapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao umezikwa rasmi leo

    Kwa kusoma tu ulichoandika hapa wewe mwenye you are very very Far from a person of integrity.. So you don't even qualify to assess others and judge them.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Hivi ICC mnaijua au mnkurupuka tu na kuandika na mtegemee Watanzania wakubali kila mnachosema...!!! ICC ina shughulikia malalamiko ya uchaguzi tangu lini...??!! Hivi hao waangalizi lukuki wa kimataifa na wa ndani mbona hawaja ona hizo hujuma zonazodaiwa ? Vyama Sita vilivyo kuwa na wagombea kura...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    Vita unaijua wewe? Si ajabu hata kuku Hujawahi chinja.. Au unafikiri kumwanga damu ni kitu rahisi hivyo ili mradi tu matakwa yako wewe hayajatimia?!! Unasema "hatuwataki" wewe na nani wakati wenye nchi yao wamepiga kura na kuamua?? Wewe umeshaona nafsi yako inawakilisha Watanzania wote... Aibu zako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakufika kwenye majimbo Matano tu!

    Hahaha ... Wakati hata mikoa yote hs kumaliza! Alibaki kurudia rudia tu Dar ....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya kuhamasisha vijana kufanya fujo imegonga mwamba!

    Kama wewe hulioni hilo basi una shida au ndiyo upofu wa mahaba......
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Wewe Elimu yako iliyo bira na nzima (za wenzako nusunusu.)umeipata katika utawala wa nani??!!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiroja cha Ngerengere

    Mlizusha ya CDF Sasa mmeumbuka hamtaki watu wahoji hiyo tabia ya kutunga na kusambaza tuhuma ili kujipatia mtaji wa kisiasa ... Aibu zenu..... Njia ya mwongo ni fupi sana ......
  14. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli na barabara za Dar alizozijenga zina viwango vya kuridhisha?

    Wewe unachanganya kutumia sarafu moja na thamani ya sarafu. Nguvu ya sarafu inategemea na nguvu ya uchumi wa nchi husika. States za marekani kila moja Ina nguvu tofauti za kiuchumi, kama siyo kutumia sarafu moja ya Dollar hata wao kila state ingekuwa na sarafu yenye nguvu tofauti .....
  15. M

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli unatuchefua

    Ume panic vibaya sana... Na bado .... Huyo ndiyo Magufuli Tingatinga ..... Wewe pia me kura yako...
Back
Top Bottom