Mtandao umezikwa rasmi leo

Mtandao umezikwa rasmi leo

Baada ya kuapishwa magufuli leo ni wazi ule mtandao wa wanamtandao walliopanga mikakati ya kumyingiza jk ni wazi sasa unapumulia mashine. Lile kundi la Mkapa limerudi rasmi..

Kumbuka wakati ule mwakyembe amerudi matibabuni,alizunguka mikoani akiwa na Sitta. Six alinukuliwa eti akisema, yeye, mwakyembe na magu walikuwa timu moja ya urais. Sijui taarifa hii kama ilikuwa na ukweli wowote,ila iwahi sikika,ingawa nasikia eti magu alikanusha kuwamo kundini.
 
Naona Mh EL amesahaulika kabisa yaani ktk vichwa vya wa tz level yake kwa sasa ni sawa na midevu Hashim Rungwe maana hata mama Mghwira amepata sana umaarufu, maskini Lowassaa!!!Ila ccm wabayyaaaa!!!
 
Magufuli mwenyewe uozo; but, since the birds of the same feathers flocks together I expect JPM to appoint peope like himself! People without calibre and integrity.
Maskini Tanzania,sintoshangaa tukakumbuka Enzi ya mkwere. Jpm hana exposure na international affairs and he's completely naive to handle diplomatic issues.

Kwa kusoma tu ulichoandika hapa wewe mwenye you are very very Far from a person of integrity.. So you don't even qualify to assess others and judge them.
 
Acha ukabila wewe, Una divert point yangu na kuleta excuse ya ukabila. Nahisi na wewe Ni lili kabila primitive lisilipenda watu WA kaskazini, au kabila la kule pwani ya kusini ambao wananyang'anywa mali zao lakini kura wanampa ccm.
Elimu, elimu, elimu, elimu bora elekezi ndo itatitoa hapa.
Eti mnajivunia barabara kajenga JPM, shame is supposed to be on you who has never been anywhere out of this country to see how the good roads with their infrastructures are constructed.
Kaeni huko msubiri makombo - hata JPM atatupiwa makombo kwa sababu mirija mikubwa haijui na hata akiijua hawezi kufanya lolote kwani ndo walomweka kwenye urais kiwizi.
Lowassa Tu ndo angeweza kuiondoa Tanzania ilipo kwa sababu anachukia umaskini kwa kila mtu Hawa wengine wanapenda kila mtu awe maskini ili aendelee kuwa ombaomba

Hiyo ni akili ndogo kutawala akili kubwa, kwani siku zote alikuwa wapi? tokea kijana kawa kwenye siasa na pia kufanya kazi tena kubwa kubwa serikalini, je huo umaskini kaupunguza kiasi gani? Je umaskini kaanza kuuchukia baada ya kuingia chadema? siku zote unapokubali kudanganywa na wakati huo akili yako inafanya kazi vyema-basi huo ni umbumbumbu mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom