Recent content by MSOLOPAA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, usikubali kupakwa mafuta na Bunge la 12

    MHE RAIS MAGUFULI USIKUBALI KUPAKWA MAFUTA NA BUNGE LA 12 Na Emmanuel M. Makalla +255716605949 Bwana Yesu asifiwe, As-salamu Alaykum! Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza mhe Rais John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa tena kutangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa tarehe 28 October...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    Magufuli is our President
  3. M

    JamiiForums Tanzania "Kati ya Wasifiaji wa Rais Wakiwemo Machawa na Wakosoaji wa Rais, Watu Critical, Nani Wanamsaidia zaidi Rais, Serikali Yake?

    Kwa upande wangu ni kundi la tatu ambalo ni dogo, hili lina watu very objective, wao Rais Magufuli na serikali yake, wakifanya mazuri, watampongeza, na wakifanya mabaya, watakosoa kwa kutumia constructive criticism, ambao ni ukosoaji unaofanyika sio kwa lengo la kubeza, bali kwa ukosoaji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

    A cha Usenge basi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

    Acha kunitisha wewe,badala unipe msaada kisheria unanitisha??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu ujira wangu

    Hakuna taratibu zozote zilizokiukwa hapo???
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu ujira wangu

    Habarini wapendwa Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao uliisha 15/11/2017 lakini cha kushangaza ni kwamba mpaka sasa sijapewa mkataba mwingine nisaini japo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

    Habarini wapendwa Mimi ni mfanyakazi wa mkataba katika shirika moja la umma,na kwa sasa nafanya nao kazi katika mkoa wa Tanga Msaada naoumba kwenu ni kwamba nilipewa mkataba mwaka mmoja ambao uliisha 15/11/2017 lakini cha kushangaza ni kwamba mpaka sasa sijapewa mkataba mwingine nisaini japo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Philipo Mwakibinga wa WARAMI awajibu maaskofu wa KKKT; adai wanatumiwa na CHADEMA

    Mpumbafu sana huyu kijana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Tv kwa kuonesha kampeni za uchaguzi mdogo

    Hongera sana Azam the superbrand
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Tv kwa kuonesha kampeni za uchaguzi mdogo

    Katika vyombo vya habari vilivyoonesha mikutano ya kampeni ya ccm na ukawa ni Azam tv pekee ila wengine too biased maana ni makijani tuu yameonekana huko Hongereni sana Azam you deserve to be superbrand in Tanzania and East Africa
Back
Top Bottom