Recent content by mskima

  1. mskima

    Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Jamani nijibuni basi!! Iam really burning.
  2. mskima

    Hizi zaweza kuwa sababu zinazomfanya Makonda aendelee kuwa RC Dar

    Nina mashaka sana na rais. Kimsingi nina hofu kubwa sana juu ya hatma ya inchi Hii. Hivi kuna Nini kati ya magufuli na makonda???? Wengine wanasema kwa kuwa wote ni wasukuma, basi hiyo ndio sababu. Lakini mimi najiuliza, nchi Hii kuna viongozi wangapi wasukuma wanaotetewa na rais ? Au hayo...
  3. mskima

    Mechi 3 bora za wakati wote!

    Good series! Naomba ongeza na ile ya Man U (1) vs Barca(3) uefa finale 2008 kama skosei
  4. mskima

    Mama Kilango Malecela alitumbuliwa haraka sana, ila Makonda mmmmh

    Hata ishu ya madawa ilikuwepo tangu kabla hajawa mkuu wa wilaya, na aliijua. Au imeanza juzikati? Tuache ushabiki na excuses. Kila kitu kinaweza kuanzia popote na anytime. Madawa yanaangamiza taifa na ni lazima tuyapige marufuku na wenye vyeti feki wachukuliwe hatua.
  5. mskima

    Kesi za kumtukana Rais zinaongezeka, kuna njia rahisi ya kumaliza tatizo

    News Alert: - KESI ZA KUMTUKANA RAIS ZINAONGEZEKA, KUNA NJIA RAHISI YA KUMALIZA TATIZO :
  6. mskima

    Kesi za kumtukana Rais zinaongezeka, kuna njia rahisi ya kumaliza tatizo

    Hakuna rais anayetukanwa kwa maoni yangu. Watu wanatoa opinion zao; kitu ambacho ni haki, watu wanaikosoa serikali na rais wao; ila yeye anajiona ni Mungu. Hataki kusikia na kukubali kuwa yeye ni binadamu. Anakosea halafu hataki kuambiwa. Lazima watu wapate hasira wapaze sauti. Na the best...
  7. mskima

    TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

    Mungu akinipa heshima bure hutakiwi wewe kuiharibu. Wewe ni nani uharibu heshima yangu? Shit.
  8. mskima

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Hakuna MTU amekaa kishabiki kama huyu mzee sijui kijana lemutuz. Wapi panasema "anakuita, anakusikiliza"??
  9. mskima

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Hakuna mahali panasema atangaze gazetini /ktk media kuwa W J Malecela au mtu yeyote ni jambazi. Atamwandikia au kumwambia RPC amkamate. Sio kutangaza kenye media.
  10. mskima

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Sina evidence kwenye mambo ya mapato. Na sio ishu za TRA at least Leo. Pia US kuvamia Iraq sio mfano mzuri. Kwasababu mwisho wa siku after month za ile invasion ipo na haina dalili za kuisha. Infact , US na UK wali declare that was and remain to be one of the worst decision. Mm sikatati ukweli...
  11. mskima

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Iv inchi Hii unajua watu wengi hatutumii uwezo wetu vema. Kuna tofauti kuwa kati ya ushabiki na science. Kimsingi sheria ni sayansi, na wala sio ushabiki. Regardless kuna yeyote ktk waliotajwa ambaye kweli anahusika katika hyo biashara au matumizi; ni lazima sheria ifuatwe kumuwajibisha...
  12. mskima

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    No way. Wito wa jeshi la polisi/ serikali za mitaa una summon. Huweziamka asubuhi ukaenda ktk media kuwa-brand watu wauzaji na watumiaji madawa ya kulevya kabla hujawapa nafasi ya kujieleza. Ukisema watajieleza wakifika, kumbuka waliopeleka taarifa hawakutumia media. Na kama ulivyokwishaona ktk...
  13. mskima

    Kwanini wabunge wanataka kujadili mambo yaliyoko mahakamani? Zitto anadangaya tena.

    Yeye sio mahakama. Si halali pia kwake kukamatwa akiwa ktk viunga Vya bunge bila taarifa ya maandishi kwa kwa spika. Na sheria inaposema spika lqzina apewe taarifa maana yake ni kwamba, spika huyo anayo mamlaka ya kuzuia kukamatwa kwa mbunge iwapo tu kukamatwa kwake hakufuati sheria.
  14. mskima

    Kwanini wabunge wanataka kujadili mambo yaliyoko mahakamani? Zitto anadangaya tena.

    That is wrong. ZZK hakujadili jalada lililoko mahakamani. Alitoa hoja kwa missingi ya sheria na kanuni za bunge na mabunge mengine ya jumuiya ya madola. Watu bwana. Yaani kuuliza kwann bunge kupitia kiti chake halijapewa taarifa ya maandishi juu ya kukamatwa wabunge wake ndio kuingilia mambo ya...
  15. mskima

Back
Top Bottom