Recent content by Msingi_Kiuno

  1. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    1. kuwa na sifa zinazokubalika kupata udahili chuoni na ufadhili husika 2. kutambua majira ya ufadhili huo wa masomo 3. kujiandaa kuomba kwa kuwa na nyaraka zote stahili 4. kuomba ufadhili
  2. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Unataka akatae tonge kubwa kwa kujali tonge dogo la chuoni?
  3. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    http://ejust.edu.eg/main/admission/general-admission-new fuata link kwa maelezo zaidi....
  4. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

    teh teh teh.... hbari nyepesi nyepesi
  5. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

    wahuni mbele ya cruzer yenye namba za usajili PT ..... na askari wenye uniform kadhaa wakitazma? you are not serious aisee.
  6. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    gharama ya mtihani ni kubwa kiasi. ni kati ya 450,00/- na 550,000/- (Pound 200 kama hawajabadili)
  7. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Thailand. ninachosoma sio tija sana kwako.
  8. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Katika chuo hiki kuna watanzania 9. so hutakuwa peke yako
  9. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    hulipi chochote ukipata scholarship. huo ni mchanganuo wa ada na michango. ukipata hiyo ni full. utajigharamia visa na nauli ya kuja huku tu
  10. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    ndio.... 1. Petrochemical and Polymer Engineering 2. Material Innovation and Design Engineering 3. Civil Engineering 4. Mechanical Engineering 5. . Integrated Agricultural Technology and Food Safety Management (nafasi ni 5 kwa kila kozi) sawitree_eng@g.sut.ac.th Email zote za docs kwa anuani...
  11. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Scholarship kwa undergraduate studies, thailand. find the attachments. Deadline: 30th April 2017 Nimeattach na application form.
  12. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    nyingine hii ya Egypt..... Closing date 31st March 2017
  13. Msingi_Kiuno

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    How to apply for the Dean's International Postgraduate Research Scholarships - Future Postgraduate Students - The University of Sydney Another opportunity. Closing date 30th April 2017
Back
Top Bottom