Recent content by msimbiti wa musoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sales officer anahitajika haraka sana

    Nami pia nimefanya interview, naomba wakiita tuambiane ili kama mtu umekosa ujue kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi uungwana wa Mbowe unavyompa kichwa Kailima

    Hapana mimi nafikiri wewe ndio unamfaa zaidi, kwani unasifa zote kwa nyuma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi uungwana wa Mbowe unavyompa kichwa Kailima

    Acheni utani basi nyinyi wafasi wa MBOWE, lini uyo kiongozi wenu kawa sifa hizo?? Mbowe huyu huyu ninayemjua mimi??? acheni kulialia tafuteni mbinu za kushindana na chama kubwa CCM.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA siku hizi inasimamia nini?

    Chadema siku hizi ni chama kilichokosa maono, kazi yao kubwa ni kutetea mafisadi na kulitakia taifa hili machafuko basi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo(JWTZ): Kuna Viashiria vinavyotishia Usalama wa Nchi. Hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo

    Asante Mungu kwakutupatia viongozi makini kama hawa, hakika Tanzania itaendelea kuwa nchi ya amani siku zote pia wale wote wanaotaka kuleta ujinga njia ni moja tu kutandikwa ipasavyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hukumu ya Sugu ilipangwa hotelini na RC Makalla. TISS wanaratibu mikakati ya kutubambikia CHADEMA kesi

    Ok sawa mimi siwezi kuandika, sasa umejuaje nashabikia chama? wakati nilichoandika hakieleweki????? sema ukweli chadema imechoka haina jipya sasa hivi tuliipenda sana zamani sio sasa hivi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hukumu ya Sugu ilipangwa hotelini na RC Makalla. TISS wanaratibu mikakati ya kutubambikia CHADEMA kesi

    Hivi huyu mbowe mbona anatufanya watanzania ni watoto wadogo sana? kila siku amekuwa akitoa sababu zisizo na kichwa wa miguu kuhusu upolomokaji wa kukubalika kwa chama chake, kila mtu mwenya akili timamu sasa hivi anatambua chadema na washiliki wake hawana mvuto kwa watanzania makini kama mimi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KYERWA: Madiwani 2 wa CHADEMA na wanachama takribani 20 kutoka vyama tofauti wahamia CCM

    Ili tupate vyama vya upizani makini na vitavyojari maendeleo ya wananchi wake na sio hivi vinavyolenga kuleta vurugu na kutuibia mali zetu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania KYERWA: Madiwani 2 wa CHADEMA na wanachama takribani 20 kutoka vyama tofauti wahamia CCM

    Chadema kwasababu ndio wanaosema kuwa viongozi wao wananunuliwa na ccm.
  10. M

    JamiiForums Tanzania KYERWA: Madiwani 2 wa CHADEMA na wanachama takribani 20 kutoka vyama tofauti wahamia CCM

    Hii mbinu ni ya kitoto sana kusingizia ccm kuwanunua viongozi wenu, pia nia aibu sana kwa chama inathirisha mnaviongozi wa hovyo wasio faa kupewa madaraka makubwa, maana watanunuliwa na mabepari wa wenye tamaa na mali za nchi yetu
  11. M

    JamiiForums Tanzania KYERWA: Madiwani 2 wa CHADEMA na wanachama takribani 20 kutoka vyama tofauti wahamia CCM

    Hapa kuna tatizo la ndani ni vema chadema wajitazame vizuri
Back
Top Bottom