Recent content by Msimbazi lady

  1. M

    Lady Jaydee, huu wimbo wako vipi?

    Ktk hili tusimuonee jide wala hayakua madongo kwa gadna
  2. M

    Lady Jaydee, huu wimbo wako vipi?

    Huo wimbo ni wa kitambo sn unaitwa sio wangu mm...sidhan sn km alimlenga gadna coz aliimba wakiwa wote...kuna mistar km sio wangu mm bali wa dar es salam kila bint mjin ye amempa mimba akipita kona watoto humwita babaaa nilidhan wangu kumbe wa dar es salam..wa kitambo sn
  3. M

    Lady Jaydee: Mwanamuziki wa kike anayependwa zaidi

    hanaga makuu dada wa watu na kenya wanamkubali sn...nmeona jana anapohojiwa willy tuva anasema wanaamini jide ndie msanii wa kike tajiri east africa anaeongoza...ila yuo kimya no mashauzi
  4. M

    Lady Jaydee: Mwanamuziki wa kike anayependwa zaidi

    uzuri wa jide anajitambua na kujiheshimu..nani km jideeeeee
  5. M

    Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Acha jide aitwe queen of music eact africa..kuna song kashirikishwa na msanii wa kenya atemidva bonge la song jide kafunika mbaya..na kitu kipya kingine chatarajiwa kuja kamshirikisha mazet yule wa ktk song la njalo na uhuru
  6. M

    Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Achen kumshusha jamani jide..jide atabak kua jide hakuna wa kumafananisha nae..wanakuja wasanii wa kike wengi wanavuma mfn kina linah.rachel,maua nk lkn bado jide anabak kua jide wengine wanapotea tu
  7. M

    Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

    Nmefuatilia post nying za zinc naona muda mwing sn ye amebase ktk kumponda jide always...so maybe ukute kuna kitu mlipishana malipo yake yamegeukia ktk kuanzisha thread za kumponda always bt ktk hili sitokuamin coz wabongo mnaongea sn na kila mtu anaongea kwa matakwa yake mrad nae aongee
  8. M

    Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

    Wabongo bwana...ukifanikiwa wanasema umetumia uchawi majungu hayo na roho ya kutu....nani hazion juhudi za lady jaydee na jose km uchawi ndio siri ya mafanikio nadhan jide angekua analala tu bt yule dada ni anajituma sn muda wote yuko busy hata viwanja huwez kumpata...mr nice aliboronga mwenyewe...
  9. M

    Jokha Kassim

    Ila kweli leila namsifu kwa uvumilivu na ana mwili wa kupendeza kila nguo anayovaa inamkaa haswa...ni mzuri aisee
  10. M

    Jokha Kassim

    Ila leila na chiku nao haziivi afu wifi yao khadija yusufu anamsapoti chiku so mpk sasa leila na khadija wana bifu na hawaongei
  11. M

    Jokha Kassim

    Ni mke wa mtu kaolewa mwaka huu na mumewe ndio mmilik wa band anayoimba
  12. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    penda sana ww team kiba tupo juuuu
Back
Top Bottom