Wadau habari za jioni,
Mimi ni Muhanga wa ile sheria mbovu ya 33.3%, nilipitia msoto wa kukaa bila kupata ajira kwa miezi 18, baada ya kukamilisha taratibu zote na kuweka alama za vidole, leo ikiwa wiki ya 2 siku za kazi toka niweke dole, je kwa wenye uzoefu nitalipwa kweli ndani ya mwezi...
Mimi hapa nilipitia huo msoto wa miezi 18 baada ya kulipwa 33.3% tarehe 17.06.2026 ndo niliweka fingerprint nikambiwa nisubiri ndani ya siku 30 za kazi....mpaka leo ni wiki 2 za kazi sijui watalipa kweli hawa wahuni maana kila kitu nil is haka mil is ha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.