Recent content by MSILOMBO

  1. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Nchi za magharibi wanapata faida gani kupitia ajenda ya Ushoga kimataifa?

    Mission za Shetani Ibilisi kuharibu dunia
  2. MSILOMBO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni ya ajabu sana

    Ah shida zote za nini napenda napo pendwa
  3. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Asante Lionel Messi, kila la heri fundi wa mpira ambae mimi nimekushuhudia

    Uwezo haujifichi na uhakika ata akienda epl Bado atakichafua
  4. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Carlinhos, Kiungo fundi na bora kabisa kutoka Angola atua nchini kujiunga na Yanga

    Mpaka acheze ndy ntampokea
  5. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

    Dah umenikumbusha nilikuwa redio flani Kuna jamaa namfaham kitambo Sana nikamuona mazingira hayo bwana we ziakanza salamu maraa pap kaongea ngeli nikasema alaaa usinidharaulishe na mi nikakirwanga af pembeni kulikuwa Kuna watu wakubwa tu na elimu zao. Baada ya mazungumzo mtu pembeni akaniita...
  6. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

    Kuna jamaa alibeba deki mpk shule
  7. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

    Umezingua ata muislam najua
  8. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Kwenye michezo tunafatitilia ili tu bet
  9. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

    Akhakha dah we jamaa mbona unayaonea aibu maumbile yako
  10. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

    Kiukweli Bavarian wapo vizuri kwenye kutumia nafasi sio Kama psg
  11. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Tumbo la kuhara safarini kwenye basi la abiria

    Ah ilinitokea hii sitasahau kamwe. Nakumbuka nilikuwa natoka Tabora kwenda dar, sasa buana muda wa kupata chakula cha mchana ukawadia kama kawaida tumeshuka kwenye kahotel flani kucheki kwenye viooo naona nyama kama zote dah kidume si nikanunua, kula sana tena nikashushia na Sprite ya buku...
  12. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kutokomeza umasikini nchini Tanzania?

    Degree holder anashindwa kujiajiri kutwa kulilia kuajiriwa jombaa Elimu yetu haijakaa kimaendeleo na naona ndy ile ilokuwa inatolewa kwa mababu zetu na mkoloni.
  13. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kutokomeza umasikini nchini Tanzania?

    Kwa elimu apo nakukatalia, Tatizo la elimu yetu si ya kuvumbua na kupanua wigo wa teknolojia yetu. Tunanunua ndege nje magari njee vitu vya umeme kama simu matv nk njee na ukumbuke sisi ndyo soko LA kuwakuzia wao uchumi na 90% ya teknolojia hata na haya ya ulinzi yanatoka njee..
  14. MSILOMBO

    JamiiForums Tanzania Helanya: Jambazi sugu, mshirikina alombaka Mama yake

    Ngoja niyapate yaliyonipita mkuu Fanya uendelee
Back
Top Bottom