Recent content by Mshume Kiyate

 1. Mshume Kiyate

  Zitto muangukie Diamond akupromoti

  Watu hawaangalii idadi ya posts watu wanaangalia ubora wa posts lakini bahati mbaya sasa hivi nyie ndiyo magwiji wa JF. Alamski.
 2. Mshume Kiyate

  Zitto muangukie Diamond akupromoti

  Nguruvi3 ,Mchambuzi, Kimbunga, Mag3, FaizaFoxy, Alinda, Ritz, Waberoya, MwanaFalsafa1, Rev. Kishoka, chama, Barubaru, Spike Lee, Mzee Mwanakijiji, AshaDii, Kimweri, Fundi Mchundo, Kapwela, mpo wapi Jamani JF inadhalilika.
 3. Mshume Kiyate

  Je,haiwezekani tumechalala?

  Kuna watu toka enzi za Nyerere hawana kitu nao wanampa lawama Magufuli.
 4. Mshume Kiyate

  Zitto muangukie Diamond akupromoti

  Kweli JF tumeishia aisee!! Huu uzi wakujadiliwa kweli tusipokuwa makini JF itakuwa sawa na magazeti ya Shigongo.
 5. Mshume Kiyate

  Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

  Unajipunja bure kwa umri wako unatakiwa utulizane ujifunze historia ya Tanganyika.
 6. Mshume Kiyate

  Jinsi Rais Magufuli anavyowakandamiza wanyonge

  Utaweza kununua ngozi ya bei yake utaiweza?
 7. Mshume Kiyate

  Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

  Wazee wa Dar es Salaam katika Baraza la Wazee wa TANU na Mwalimu Julius Nyererekatika Uchaguzi Mkuu wa 1962. Masikitiko ni kuwa mashujaa hawa hadi leo nchi haijawatambua isipokuwa Nyerere peke yake. Kushoto ni Mwinjuma Mwinyikambi, Max Mbwana, Julius Nyerere na Mshume Kiyate, picha ilipigwa...
 8. Mshume Kiyate

  Si sahihi kutumia makosa ya Magufuli kuhalalisha ya Kikwete

  Hamna udini wowote Magufuli kukataa kuweka mchaga kwenye serikali yake ana maana kubwa.
 9. Mshume Kiyate

  Si sahihi kutumia makosa ya Magufuli kuhalalisha ya Kikwete

  Mleta mada naona unamkumbuka JK kihaina bahati mbaya hagombei tena urais.
 10. Mshume Kiyate

  Mbowe: Tunazuiwa kutembelea matawi ya CHADEMA

  "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete". John Mnyika Ndiyo siasa zilivyo Mbowe yote haya kayaleta Mnyika.
 11. Mshume Kiyate

  Umateka wa Fikra

  Mwingine huyu naye amebakia kukariri tu sasa hivi Gaddafi hayupo maisha yakoje huko Libya?
 12. Mshume Kiyate

  Umateka wa Fikra

  Hahahahahaha!!!nasikia hata zile boti za raia wa Libya zinakwenda Ulaya na kufia kwenye maji baharini ni simulizi za wahuni tu Libya sasa hizi wana maisha mazuri sana toka wamuue Gaddafi. Toka mwanzo nilikuambia hizi habari upendi kuzisikia haya soma na hii. Germany In ‘Total Shock’ As Proof...
 13. Mshume Kiyate

  Umateka wa Fikra

  Hahahaha!! Nilijua tu lazima utapinga maana ni habari ambayo utaki kuisikia maana inawagusa watu unaowapenda. Ngoja nikupe darsa ujue hii dunia inavyokwenda acha kukariri tu. Angalia hii video. Halafu angalia na hii pia.
 14. Mshume Kiyate

  Umateka wa Fikra

  Hebu nenda sasa hivi Libya kayaseme hayo maneno yako kama ukukatwa kichwa. Na magaidi wa ISS, Al Qaida wanafadhiliwa na Marekani na Israel au ili ulipendi kulisikia sababu linawagusha wazungu ambao ni miungu watu.
Top Bottom