Recent content by mshumbue-soi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya Benard Membe kukataa katakata kutumika chini ya utawala wa Magufuli

    Tumwache Mhe ale Pensheni akimaliza atakuja kutuambia sasa mtu anakula tusimsemeshe please ngoja pensheni iishe 22025 utamsikia na 2020 atatubeep
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa upuuzi unaoendelea, ni vigumu kujizuia kuichukia serikali pamoja na vyombo vyake

    Anachukia Serikali itakayomletea viwanda kila mkoa viwanda 100 agizo kwa Wakuu wa Mkoa Sasa ajiichukia so ataivunja moyo kujenga viwanda??
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDOM kimeandaa mdahalo wa wanataaluma huku Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki akialikwa kuwa mgeni rasmi

    Mhe Rais wetu JPM tunaomba apewe nafasi atoe mada kuhusu Africa kutumia lugha zake kutolea elimu ana mifano ya china na Ufaransa kutoongea kiingereza na niwasomi na hata ujerumani apewe nafasi akinadi kiswahili chetu BAKITA siku hizi sijui wameenda wapi wanamwachia mhe kazi zao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Afisa wa jeshi(Magereza) inakuaje unapanda mishikaki kwenye Bodaboda?

    Afadhali hujampiga picha umeonyesha ukomavu ukalileta kama hoja / issue na sio kujadili watu bali hoja we kweli ni jf mwenye uelewa wa ki great thinker
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mahiga afungua ubalozi wa Tanzania nchini Israel

    Hawataki ubalozi??
  6. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Magufuli azindua daraja la Kilombero. Waziri Mbarawa asema litaitwa daraja la Magufuli

    Nimeanza kuamini yajayo yanafurahisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kila mwezi tunalipa deni la taifa shs bil 950, hivi tunakusanya ngapi na matumizi kiasi gani?

    Ujumbe muhimu madeni yanalipwa sh ngapi tumuulize wa fedha Mh. ametaka tujie analipa tena nyingi
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuuta kuwa na huyu sugar mamy, nipeni mbinu za kuachana naye

    Mwambie umeteulikuwa kuwa Mzee wa Kanisa na pia ufundishe semina za ndoa nzuri
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Nafasi ya Ukatibu Mkuu CHADEMA

    Tanzania ya Viwanda ateuliwe kuwa nani Serikali ni??
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yajiondoa kwenye mpango wa kuunganisha masoko ya hisa ya Afrika Mashariki

    Je haitajiunganisha na Tanzania ya viwanda ???kama majirani ??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda, Paul Kagame awasili nchini kwa ziara ya siku moja

    Wanasemaje kuhusu milioni 50 za kila Kijiji??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Forex na TMT,,huu hapa ukweli juu na ninachojua

    Kamati Kuu ya Forex nayo inakutana??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimesema kimefanikiwa kukusanya Sh138M kugharamia matibabu ya Tundu Lissu

    Katoa taarifa siku ya Mapinduzi kesho front page kazi ipo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Naomba na Mimi kuhudhuria kwa niaba ya ambao hawataudhuria niwakilishe Mawazo yao
Back
Top Bottom