Recent content by MSHUAH

  1. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tunafunga Siku ya Ashura?

    Kisa cha Siku ya Ashura 🤍 Siku ya Ashura ni siku ambayo Allah alimwokoa Mtume Musa na wana wa Israil kutoka kwa Firauni na jeshi lake. Bahari ilipasuka kwa amri ya Allah, Musa na watu wake wakaokoka, huku Firauni na jeshi lake wakazama. Mtume Muhammad ﷺ alipofika Madina aliwakuta Wayahudi...
  2. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!"

    Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!
  3. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Okoa hela ya mafuta makali, fanya hivi ngozi ing'ae

    Kama unataka ngozi isichuje na ing'ae bila make-up na viungo vyako visilete ngeta mapema, suluhisho ni Collagen tu. Hii kitu inajenga mwili kutoka ndani ngozi inakuwa laini, kucha zinakuwa ngumu, na nywele hazinyonyoki. Kuliko kupaka mafuta ya bei kali yanayoishia juu ya ngozi, piga hii kitu...
  4. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Mwili Imara: Faida Kuu. za Collagen Kwenye Ngozi, Viungo na Nywele Zako.

    Ni nzuri sana tena unakunywa kila siku mara moja sio ya kupaka
  5. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Mwili Imara: Faida Kuu. za Collagen Kwenye Ngozi, Viungo na Nywele Zako.

    Dar es salaam Victoria ndipo zinapatikana kwenye ghorofa ya tunhous
  6. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Tengeneza Mwili Imara: Faida Kuu. za Collagen Kwenye Ngozi, Viungo na Nywele Zako.

    Sababu Kuu za Kutumia Collagen Kila Siku Kurudisha Ustahimilivu wa Ngozi: Collagen hufanya kazi kama "gundi" inayoshikilia ngozi. Inasaidia kupunguza mikunjo, kuzuia ngozi kulegea, na kuifanya ionekane nyororo, yenye unyevu na ya ujana zaidi. Kuimarisha Viungo na Mifupa: Inasaidia kulinda na...
  7. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    Sahihi 📌
  8. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    Ambia watu 😂
  9. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    😥
  10. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    Sahihi 📌
  11. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    "Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika, na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi, ishi kidogo." Kifo chako hakitakuja kwa tangazo au maandalizi maalum. Kitakuja siku ya kawaida kabisa, ukiwa katikati ya mipango ambayo bado hujakamilisha, ndoto ambazo...
  12. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Usiamini Maneno Tu, Angalia Matendo be careful

    Usishirikishe kila mtu kwa kila kitu chako, na jifunze kutambua matendo kuliko maneno. Wanafiki huongea vizuri, lakini vitendo vyao ndivyo vinawafichua
  13. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Mmeng'enyo wa Chakula: Chanzo cha Changamoto na Suluhisho Lake

    Mmeng'enyo wa chakula ni mchakato muhimu kwa afya zetu, lakini wengi wanakutana na changamoto kama kuvimbiwa, gesi, na maumivu ya tumbo. Tatizo linaweza kusababishwa na lishe duni, kutokunywa maji ya kutosha, stress, au kukosa mazoezi. Suluhisho liko wazi: Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi...
  14. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Fungua Milango ya Mafanikio: Hatua Muhimu za Kutimiza Malengo Yako

    Yes nimekuelewa 🙌🏾
  15. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Fungua Milango ya Mafanikio: Hatua Muhimu za Kutimiza Malengo Yako

    "Inaonekana ndoto zako zinaishia kwenye hela, pole kwa kutokufikiria mbali zaidi." Inaonekana ndoto zako zinaishia kwenye hela, pole kwa kutokufikiria mbali zaidi.
Back
Top Bottom