Recent content by Mshororondwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je ! hiki Kipigo cha Katiba ni Uthibitisho UKAWA Sii Lolote Sii Chochote, 2015 Ni CCM Tena

    Rasimu ya katiba mpya nisawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia huku ukifurahi kuwa umepata kitoweo kumbe ni fisi haliwi huyooo. Subiri muone mtaanza kulia wenyewe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani achafua hali ya hewa Times FM

    Sisi-yemu viongozi walikuwepo enzi hizo. Kwasasa du majanga tu. Riz-moko nikiongozi? Nishiiidaaa!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bunge Maalumu la Katiba laendelea kukusanya maoni!

    Hakuna Umasikini mbaya kama wa "fikra" nimewaona watu wazima wanaitwa wasanii, mara wakulima, japo nchi nzima tu wakulima. Lakini walio kuja kutoa maoni ni was maeneo flani napia niwale tu wenye vazi la kijani ambao kwanza wamepewa mkwanja halafu unapewa chakusema. Mtu mzima na nawengine mna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlitegemea CCM waache mema yote haya

    Nakuunga mkono mleta mada. Ujinga ukituishia nchi yetu itakuwa na maendeleo ujapata kuona. Tatizo wajinga tuko wengi wajanja wachache wanatukamua kila kukicha. Ipo siku ujinga ukikoma patachimbika
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tunajiandaa na maandamano kupinga Bunge la Katiba

    Kwa vile ni vita ya wana wa Mungu na shetani hapana shaka Mungu yu upande wetu. Tutashinda. Kamwe shetani ufanya vurugu tu lakini mwishowe ushindwa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tunajiandaa na maandamano kupinga Bunge la Katiba

    Chadema wao wameanzisha sisi kama NGO, taasisi za kidini na nyinginezo tukiona unatufaa tunaliunga. Binafsi niko tayari nasubiri tarehe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

    Mzimu wa Tanganyika unazunguka vichwani mwao. Ipo siku Ummy ataitetea Tanganyika. Wait you will see.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa UKAWA 2015 utakuwa hivi

    Umejitahidi kupanga safu yako. Kwa Rais, mwanasheria mkuu safisana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani waliougua Ebola wapona

    Yawezekana. Maana ugonjwa wenyewe wakutengeneza. Dawa ipo.
Back
Top Bottom