Recent content by Mshindomaseto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Lissu kuachiwa kabla ya Mei 19

    Unasema siyo utabiri lakini kwenye heading inasomeka ni utabiri
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA

    Kwani hayahamia CHAUMA huyu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nakushukuru kwa utafiti na kushare na sisi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Makao makuu CHADEMA atoa siri nzito za J.Mnyika na F.Mbowe kumbe CHADEMA kushika dola chini ya Mbowe ni ndoto

    Kama ni hivyo basi hata Lisu hafai kwani naye aliunga mkono ujio wa Lowasa Chadema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

    Mimi mshangao wangu mkubwa ni Mbowe kutofautiana na Lema.Nimeshangaa kwa kweli.Nilifikiri Lema ni chawa mkubwa wa Mbowe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heko Kikeke kwa kumhoji Mbowe, kuweka mizania sawa panga kumhoji na Lissu!

    Hivi Mbowe wa kweli ameenda wapi.Maana yule wa jana aliyekuwa anahojiwa na Kikeke anapata kigugumizi kidogo,hajiamini na anatoa majibu mepesi kabisa. Hakika Dk Slaa aliifaa sana Chadema.Sasa hivi imepaya mno.
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KATAVI: Wajumbe wa Mkutano mkuu CHADEMA Taifa watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu

    Hivi Mbowe wa kweli ameenda wapi.Maana yule wa jana aliyekuwa anahojiwa na Kikeke anapata kigugumizi kidogo,hajiamini na anatoa majibu mepesi kabisa. Hakika Dk Slaa aliifaa sana Chadema.Sasa hivi imepaya mno.
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

    Naunga mkono hoja.Nami nimemsikiliza na kuamini yote uliyosema.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

    Nashauri Manara ahojiwe kwa uchochezi kwa sababu sisi tunataka Mama Samia atawale milele.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

    Hata hivyo Mungu hakusema uzae ujaze dunia pekee yako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

    Naunga mkono hoja.Hivi kichaa anawezaje kufanya yote hayo manzuri
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ameshindikana kumejaa, kumetema, kumetapika wa kumuweza huyu jamaa ni Pope Francis mwenyewe

    Wa mwanzo kabisa alikuwa Moses Kulola.Huyo alianza miaka ya mwanzo kabisa ya uhuru.Watanzania tuna utayari mkubwa mno wa kuhadaika.Kama hata yule mzee wa kijijini kabisa Samunge alifanikiwa kuwatapeli watanzania na wana afrika mashariki wengi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

    Kumbe kweli Chadema hawana utaratibu bayana wa uchaguzi.Sasa kuwafungia wapiga kura nyumbani kwa mgombea siyo kiashiria kuwa kuna mambo yasiyofaa yanaweza kutendeka.
Back
Top Bottom