Ni structure tu ya lugha hiyo adhimu kama ambavyo mathalani kwenye Kiswahili tuna mchambawima, mlandege, mlandizi,mkomanyani, n.k pale ambapo asili ya majina ya maeno hayo ni watu/mtu mwenye sifa fulani ; au mtendeni, mkuyuni, mwembeni n.k pale ambapo asili ni mti; au Kijiweni, kinondoni...