Recent content by mshindi lingasiku

  1. mshindi lingasiku

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anajimwambafai

    Kunywa sumu
  2. mshindi lingasiku

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mkandarasi amegoma kunilipa

    Kuna mkandarasi wa ujenzi nimefanya nae kazi miezi mitatu kwa makubaliano kwamba zikitoka hela TANROADS ndio anilipe. Lakini cha kushangaza hela zimetoka kanigeuka na hataki kunipa pesa yangu, na kibaya zaidi tulikubaliana kwa maneno mbele ya mashahidi hatukuandikishana. Sasa sijui nifanyaje...
  3. mshindi lingasiku

    JamiiForums Tanzania Zabuni za ujenzi wa majengo

    Habari wadau naomba kujua na kiereweshwa ivi zabuni za ujenzi wa magholofa huwa zinatangazwa? Huwa zinatangwazwa wapi? Na utaratibu wake ukoje ,kama kuna website naweza kukuta msaada wadau.,
  4. mshindi lingasiku

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

    ni uzushi tu
  5. mshindi lingasiku

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya aenguliwa Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; nafasi yake apewa Stephen Wasira

    siku ikifika tukubari kuna kupanda na kushuka
Back
Top Bottom