CHADEMA mnakwama wapi? Fedha walizokuwa wakikatwa wabunge kila mwezi kwaajili ya kampeni za 2020 zilienda wapi? Ofisi za makao makuu zimejengwa wapi? Matrekta ya chama yako wapi? Sadaka ya ukombozi iko wapi?
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema n.k wawe Mawaziri?
Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola...
Kwenye huu uzi nauhakika comments hazitafika 100 na likes za baadhi ya comments zitakuwa nyingi zaidi ya likes za uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera afisa tarafa
Sijui ni nani aliwadanganya watu kuwa hii huduma inaitwa tarrif 0, iko hivi hii huduma inaitwa tarrif 4 ambapo ukilipa 9150 unapata unit 75 japo watanzania wengi hulipa 9000 kamili hivyo hupata unit 73.8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.